ndugu wanajamvi,
nikiwa naangalia muvi moja ya kibongo nimekutana na msemo huu,..jamaa alikuwa anaomba ushauri kuhusu jambo fulani na rafiki yake asema hivi..."kichwa chako ndio serikali yako" na...
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace"...
Tafadhali naomba wajuzi wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, wanipe maana za maneno haya ya Kiswahili, ikiambatana na mifano.
1. Utani
2. Mizaha
3. Masihara
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
Nimeomba kazi UNDP wakanibu hivi. May your day be punctuated with a revanchism whose magniloquence can only be theotropistically analysed by the use of a reminiscent excarbation.I hope you...
WanaJF,
Tujasaidiane wadau, najua huo ni mkono wa kulia lakini kwanini uitwe ni mkono wa kuume? Je, hili nalo ni sehemu ya mwendelezo wa kuwanyanyapaa wamama? Kinyume cha mkono wa kuume ni...
ANAHITAJIKA MKALIMANI WA KISWAHIL/KINGEREZA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA UK (LONDON) JUMATATU 15.07.2013 .KAMA UPO UK AU UNA MTU UK ANAYEWEZA KUFANYAKAZI HIYO .TUWASILIANE 0755912212 au...
kumekuwa na mparaganyiko katika hili, mara wengine wanasema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE''
huku wengine wakisema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGONI CHA NJE''.
Utata upo kwenye...
hivi karibuni, miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia ugeni mkubwa hapa Tanzania, ujio wa rais wa China, Rais wa marekan, mkutano wa smart pack, lakn cha kushangaza badala ya viongoz wetu kutumia hii...
Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru...
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
Hey dears,
It is the right time for us to expand our English language competence and performance at our own time by visiting different eng-language course webs. Here is one amongst.
Auxiliary...
Ndugu wanajamii,
Je, kuna kiswahili cha neno ''side effect''?
Je, ni sahihi kusema ''side effect''=Madhara au Madhara tarajiwa? Hasa linapotumika katika muktadha wa kitabibu.(yaani Madawa au...