Waasisi wamesalitiwa
afrika nakulilia.
Afrika umekuwa mtumwa wa wb
afrika umekuwa kuhadi wa imf
afrika zobe la usa,
afrika umekuwa simango la watu wako
nakulilia afrika...
'Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.'
literally, inamaanisha, uwe mpole kwa manesi kwasababu watagoma kukusaidia kuzaa. Haha.
Kiukweli maana yake ni nini?
Imekuwa ni kawaida kuona nchi nyingi duniani zkianzisha shule mbalimbali za kufundisha lugha zao, mf. China, Japan, Russia na Spain. Kiswahil kikiwa moja ya lugha zinazokua duniani, kuna nchi...
Habari zenu wana Jf, nita furahi sana endapo ikitokea siku Kiswahili kikatumika katika masomo ya elimu ya juu hisopkuwa. Kwa sababu naona watu wengi Kingeleza kina wapiga chenga na kuwafanya...
Maana ya neno 'kafiri' ni mtu asiyeamini kuwa kuna Mungu.
Katika Biblia Takatifu 'makafiri' wanatajwa. Rejea kitabu cha maombolezo ya Jeremia 1:3 neno la Mungu linasema hivi:
"Yuda amehamishwa...
Its true that you are the product of your own thoughts and decisions. Whatever you decide on daily basis, whatever you do in your routine life is directly or indirectly linked to your future...
Japokuwa kujua kiingereza sio uthibitisho wa usomi, lakini ni aibu pale ambapo katika mkutano wa Maraisi kama uliofanyika pale Ngurudoto Arusha hakuna hata kiongozi wa serikali alieona kosa...
im·po·tent/ˈimpətnt/
Adjective
Unable to take effective action; helpless or powerless.
(of a man) Unable to achieve a sexual erection.
Synonyms
powerless - weak -...
'Penye miti hapana wajenzi' huu msemo wa mababu zetu ni valid wakati huu!? Naogopa mana naona unaukweli dhahiri kwenye taifa hili. Tuna kila kitu hapa nyumbani,ardhi,misitu,madini,maziwa na mito...
Mpoto alituma salamu, ukavunga ujazisikia
Roma akashika kalamu, nyimbo akakuandikia
We una akili timamu, sema tu hutaki zitumia
au mpaka imwagike damu, ndiyo utajua tunaumia?
Izzo-B akamtuma...
Kujua kingereza fasaha pasipo kujiuma ni muhimu katika interview yako ya kazi.usikae ukalalamika ni lugha ya kigen kila siku.wakat kuna njia lukuki za kukijua..tembelea websites.visit center...
Ndugu wanaJF,sote tunajua majina ya siku zote saba za week kuwa ni;
1.Mon-day
2.Tues-day
3.Wednes-day
4.Thurs-day
5.Fri-day
6.Satur-day
7.Sun-day.
Sasa najiuliza sana,maana ya...