Wapendwa wanajf. Nasikitika kuwatarifu kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba waliochaguliwa wamechaguliwa bila waraka kufuatwa, kwa kuzingatia sifa halisi za waombaji na kama waraka ulivyoagiza...
Watanzania,
Naomba kufahamishwa 'itikafu' maana yake ni nini?
Lengo lake ni nini?
Nimeshangazwa na habari hii ya kusikitisha kutoka gazeti la mwananchi la leo.
Kama kiongozi wa nchi anasomewa...
Tafakuri Ya Leo....
Unalalamika Taifa Lina Rushwa unasahau ulifundishwa na wanao wanafundishwa shuleni na waalimu wao
ELEZA MAANA YA METHALI ZIFUATAZO
1. PENYE UZIA...
Wadau kila siku najiuliza juu ya huyu mzee serilali yetu inawaenzi vp wazee km hawa, labda wenye ufahamu mdogo huyu mzee na wengine wengi ni magwiji wa kiswahili na ushairi.La kushangaza sijui hio...
Ni juzijuzi hapa ambapo tumeshudia Rais wa China akiongea kwa lugha yake, wakati Rais wetu anaongea Kiingereza. Hotuba hizo zilifaa wananchi wote wazielewe kupitia lugha yao ya Kiswahili. Viongozi...
Nimemsikia mkuu wa wilaya ya muheza bi subira kwenye taarifa ya itv ya saa 2 akizunguzia suala la watu waliovamia msitu. Kwamba serikali yake itakuwa full mass nondo. Hivi maana yake ni nini?
Ndugu natumain hamjambo kabisa na mmejiandaa vema na siku kuu ya ester.
Kutokana na sabau zisizo zuilika na zisizoelezeka katika ulimwengu wa kuajilia nahitaji kuchukua imejensi livu ili niende...
Hapa nchini tunalo tatizo la matamshi ya herufi 'l' na 'r'. Yapo majina ya watu- wasanii watangazaji nk. yanayonichanganya sana kwa sababu ya hizo herufi 'l' na 'r'. Nisaidie kwa mfano majina...
Naomba kufahamu kama hili ni neno sahihi na sanifu lakiswahili ama ni tusi na lina athari gani kutamkwa?Watu wengi wamekuwa wakisema hili neno si zuri kulitamka mbele za watu.
Nawakilisha.
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient...
Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
Nimekuwa nikitafakari dhana ya wazazi wetu waliyotumia kutoa majina yafuatayo kwa watoto wao nimekosa majibu. Mwana JF ambaye una weza kuwa na Ufahamu huo , naomba msaada. Majina hayo waliyo pewa...
Kiukweli kabisa nimeamini kuwa kila mtu anaweza akawa mwalimu kwa mwenzake na mtu akawa mjinga wa jambo fulani lakini akasita kuuliza..
Kutokana na kwamba kuuliza si ujinga, ujinga ni kuto...
When I was learning English I used to write the new vocabularies I found from different books with their meaning on a piece of paper and start cramming them. This method was not effective since I...