Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hamjambo, naomba kujua tafsiri ya neno "pavement" kwa kiswahili sanifu.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mbali na neno RAIS Je? Kuna neno lingine la kiswahili linaishia na consonati?!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi wa maneno yafuatayo: 1.kamusi wahidiya 2.rejesta 3.misemo 4. Rahaja 5. Lugha ya mazungumzo
0 Reactions
2 Replies
5K Views
jamani wana jukwaa hivi huu msemo unamaana gani?"leaving no stone unturned"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo maaeneo fulani hapa nimejipumzisha kama kawaida baada ya mishe mishe. Jirani yangu kuna kijana kakaa na mambo yake. Akatokea kijana mwingine ambaye anafahamiana na kijana ambaye yupo jirani...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Alitokea mchawi, kuwaroga watu hawa. akawapa ukiziwi, na magonjwa ya'so dawa. kawafanya wawe kiwi, ndege wasio na mbawa. mchawi alipania, kuwatesa si kuua. kawaroga mashujaa, kafanya wawe...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi naombeni japo mchango kidogo wa mawazo kuhusu tofauti kati ya maneno yafuatayo: Tovuti Wavuti.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ndugu wanajamvi kuna misemo ming nimekua nikiisikia mtaani toka utoto wangu mpaka utu uzima wangu lakini nilikua sijali kabisa sababu nimesoma nje ya nchi kwa kipind kirefu nili hic hayaniusu...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
wadau,kulingana na mambo ninayofanya,najikuta nadeal na hawa watu sana,nahitaji kweli na niko serious sana kujua kuongea na kusoma kichina na kikibosho,tafadhali sana niko tayari kulipa hata fees...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau wa jukwaa hili! Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba mwenye ujuzi wa hli neno anipe msaada, maana linanipa utata, nasikia wanawake wakiimba harusini, na wakati mwngne m2 akpendeza huambiwa ametoka kimasomaso. Mwngne akaniambia kimasomaso ni...
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar amesimamishwa uongozi wa ukurugenzi kwa tuhuma zenye harufu ya kifisadi na kutowajali waalimu wanaofundisha kiswahili katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni ipi maana ya msemo huu ktk lugha yrtu tukufu ya kiswahili |"""The old saying, "Cleanliness is next to godliness," suggests that if you maintain personal physical, moral and environmental...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi...nimekuwa nikijiuliza sana maana ya hili neno...lilitumia word formation process ipi na lilikusudia kubeba maana gani???? SECRET-siri ary-ni kiambishi cha nini??? je...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Sentensi ifuatayo ni ngumu kwangu kidogo kuilewa na kupata maana yake, nilikuwa naomba kama kuna mtu anayeweza kunitafsiria, Natanguliza shukrani zangu! "an indulgence is the full or partial...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfano,.."I can't be totally Useless, but i can be used as a bad example", "Blessed are those pure in heart as they shall see God"."Blessed are Heart that bend, but shall never break".."Pesa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Some persons simply refuse to grow old. I like that eighty-year-old man who told me: What’s wrong with being eight years old? It is not how long you have been around; it is what you have done...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Be Precise To be precise means to be accurate and careful about what you do or say. Your written work can never be excellent if it is filled with inaccurate information or typos. These may seem...
2 Reactions
3 Replies
925 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…