Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mahali hapa pana hela 1) Mahali hapa hapana hela 2)Si mahali hapa pana hela 3) Si mahali hapa hapana hela. Usisahau kuniambia kwanini.....
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Salaam, Mara kadhaa nimeshiriki/inawezekana nawe pia umeshiriki katika mjumuiko wa watu wenye kueleza/kutoa maoni, majadiliano, elimu n.k lakini hasa inakuwa shida kutambua nini hasa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
RIWAYA YA ''UTASHI NI MTU'' Baada ya kuzitazama zile nyasi zinavyopendeza mwituni ili hali kijana ''Bano wa masaa'' akiwa hana viatu vya kumkinga na miiba na dudu washa waliosheheni msituni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nawafuatilia sana watangazaji wanaoripoti kutoka Kinshasa na kwa hakika kiswahili chao ni cha kukufanya ucheke! Ebu angalia mifano hii kisha na wewe utupie ulichosikia: 1.Askari...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
  • Closed
Ule wimbo umeimbwa ili nini?
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Leo BAKITA wameujulisha umma tafsiri sahihi ya maneno kama ifuatavyo: Decoder............. Kisimbuzi (kusimbua -decode) Detector........... King'amuzi (kung'amua - detect)
2 Reactions
19 Replies
14K Views
Nimepatwa kuulizwa swali humu kuhusu haya maneno Tafakuri tunduizi Tafakuri jadidi Upembuzi yakinifu Tusaidiane kwa kina wadau wa lugha
2 Reactions
7 Replies
14K Views
Nngependa kujua Utofauti wa maneneno haya na usahii wake katika kuyatumia "RAHA, FURAHA, UTAMU"
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimeikuta kule Facebook, Mheshimiwa akishambuliwa na vijana wa Face book.Naomba wataalamu wa lugha njooni mumsaidie MSOMI DARAJA LA KWANZA katibu msaidizi wa magamba na mapungufu yake ya ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
When you have failed, your first step is to forget. The second is never to settle for it; never accept a failure. Then go right back at it again. Extract what know how you can. Never say:’well.I...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waswahili wana msemo wao unasema " Yaliyopita Si Ndwele " Swali langu ni " NDWELE NI KITU GANI?. Nasubiri kusikia kutoka kwenu wana JF. " Mpango wa Mungu kwa wanadamu...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
ndugu zangu naomba kuuliza maana ya neno 'career' kwa kiswahili. je, kufanya biashara inaweza kuwa ni career kwa mtu anayefanya biashara? kwa mfano, mimi ni mfanyabiashara wa nguo ninaweza kusema...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Ipi ni sahihi kati ya hizi mbili? 1. Inkoskaz and Makanyaga are nobodies' fools 2. Inkoskaz and Makanyaga are nobody's fools
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa jina lake manani, muumba wa vyote vitu Mola aso mfanani, halinganishwi na mtu Amenipa mtihani, na leo si mali kitu NINATANGAZA MSIBA , MAMA AMENITOKA Kwa 'kwikwi' najililia, msiba...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
We are in the year 2013 but may be you are still in year 2012 and you know no. How true can this be, when a new year comes what exactly change? Most of the time date changes, some remain constant...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Kwann viongozi hawakipi kipaumbele kiswahili hususani kwenye shughuli mbalimbali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kisa cha watu wa pangoni, yaani kwa lugha ya kiarabu ‘ashaabul-kahfi’, ni miongoni mwa visa vikongwe katika historia ya dini na maisha ya mwanadamu. Kisa hiki ambacho ni moja ya visa vingi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshuhudia hii "h"ikiongezeka kwa kasi mahali isipohitajika. Kwanza ilianzia kwa wanamuziki wa bongofleva na sasa inaunguruma kote mitaani haswa kwenye kuandika ujumbe wa maneno kwa kutumia simu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu msemo kwa nini unahusishwa sana na mambo ya malavi davi. Kwa wenye ufafanuzi mtu dadavulie kidogo. Maana sisi wengine na misemo mbali na mbali
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Naomba kuwashirikisha hii inayopatikana katika dunia ya karne ya 21 ambapo Phones-wireless Cooking -Fire less Car -Key less Food -Taste less Youth-Jobless Leaders-shameless...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…