wengine wanasema ni zile za majani tu yaani vegetables ndizo zinazopaswa kuitwa MBOGA, wengine wanasema makundi yote ya vitoweo kama nyama, mbegu, mizizi, wadudu (kama kule buhaya), matunda...
tunakawaida kuwaita wakuu wetu wa kazi maofisini boss aidha katika kumwita au kusalimiana nae, je tutumie neno gani fasaha la kiswahili badala ya neno boss?
Jogoo lina mafamba, linatamba kiamboni,
Kwa kiburi lajigamba, hadi kiambojirani,
Hili jogoo la shamba, sasa lawika mjini,
Kitendawili na tega, mteguzi ategue.
Mbawa linavyozipiga, wengine...
Imenishangaza kutumika kwa Tanzania maneno kama kuandikwa na kufutwa kazi pia hali ya sintofahamu. Sasa najiuliza yale maneno yetu ya kuajiriwa au kupata kazi na kufukuzwa kazi ni yepi hasa ndio...
HAYA NI MANENO MOJAWAPO KATIKA WIMBO WA MRISHO MPOTO !MENGINE ANASEMA.......
BABA KAJA NA SWALI ...MAMA KANIPA JIBU ILI NIULIZE SWALI!
WIMBO HUU UNA MAFUMBO MAGUMU HEBU JF GTs' nichambulieni wimbo...
There is a misconception that Swahili borrowed some of the terms or words from other foreign language.the truth is those foreign languages actually borrowed from us.
One thing for sure, 100%...
Mimi napata shida na neno Chuo Kikuu, Sijui kama ndiyo tafasiri sahihi ya neno University, neno University limetokana na Univesal likibeba maana ya kitu kinachotambulika ulimwenguni kote. Sasa...
Kondooo mkiaaa, si kichwa, rangi wala ukubwa, then nywele, ndio unaweza kuthaminisha kondoo, mkia hutingishika kila upande, huwaacha kondoo dume wakihangaika ucku na mchana, na mkia uliojazia...
habari zenu wadau,,, jamani mimi ni fun mkubwa sana wa nyimbo za huyu jamaa,, ila kwa lugha kali ya picha ambayo huwa anaitumia, huwa inakua simuelewi vizuri, hasa hasa wimbo wake unaoitwa...
Most Tanzanians pronounce 'adhere' wrongly. They pronounce it in swahili sense as they do in words like'dhahabu','fedha'. It brings difficulty when talking to someone who doesn't have swahili...
Jamani tuelimishane neno au jina lolote la kingereza kwa kiswahili. Naanza na haya
Calculator - Kikokotoleo
Tv - Luninga
Photocopy - Kinakilishi
Laptop - compyuta mpakato
Keyboard - Kichapio ...
Inapendeza sana Kiswahili chetu siku moja kitakuwa lugha kubwa sana duniani. Bofya hapo ujionee mwenyewe.
YouTube - cha kutumaini shina-madison square garden
Wadau habari, mimi napenda kujifunza lugha ya kihindu ila uwezo wa kulipia kozi yao sina kwa sasa, ningefurahi kama ningepata kamusi ya kihindi/kingereza au hata kwa kiswahili kama ipo. Iwe ni...