Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nadhani kwa sasa haya maneno yamekuwa gonjwa la kitaifa. Ninachefuka sana pale mtangazaji wa redio/tv mwenye digrii ya mass communication anaposema Nyimbo hii imeimbwa na... Ninavyofahamu Nyimbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bha'aabhoooo...karibuni, zya nsiko...habari za siku, mwee wapanga...hamjambo?, mwangaloka...habari za asubuhi, wa kukaya...wa nyumbani, kalibhu halugo...karibu nyumbani, kalibhu hakaaya...karibu...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Katika kuwasikiliza wasemaji na wazungumzaji wa lugha na vilugha nashindwa kubaini ni lugha ipi siye Watanzaniya tunaimudu vema? Si wanataaluma, watu wa kawaida, na hata wanazuoni huchanganya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SOKSI MNAVAAJE? 1.Nipo ngangari kuhoji 5. Miguu mashakani Vazi la soksi na uvaaji ! Haifai matembezini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi haiwezekani kuwa na neno moja tu likaweza kuwakilisha hii maana ya baba/mama mdogo, bila ya kurudia neno baba au mama
0 Reactions
5 Replies
16K Views
Nijuze wenye miito, ukweli nami nijuwe, Nahaha kama mtoto, ninaranda kama mwewe, Kichwa kinawaka moto, nimejawa na kiwewe, Nijuze kwani nguruwe, anaitwa kiti moto? Ewe malenga Mpoto, kihabarishe...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Mimi nina kipaji kizuri cha kuandika kazi za fasihii nimesomea kazi za ubunifu university of dar es salaama lakini sijui nifanyeje ili nikiendeleze kipaji changu kwani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Je, KIPEMBE maana yake ni GEREZA?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natanguliza salamu zangu mbele kama tai,ni hivi wakati tuko shule ya msingi mwalimu wa kiingereza aliwahi kutufundisha kwamba neno lolote ktk lugha ya kiingereza linaloanzia na herufi A E I O...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
maisha ya mwanadamu, kweli ni kama maua lachanua tena li hamu, kesho lanyaukia lapendeza tena li tamu, jua kuchwa mepotea kwaheri baba mkubwa, umetutoka mapema! nashindwa kuvumilia, kulia japo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kusinzia ugenini ! 1. Jamani nambieni,ukweli nipate jua Ee malenga toboeni, hata kwa kusoma dua Hapa bara hata pwani, dhana hii pembua Kusinzia ugenini, maana yake ni nini ? 2...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Gunia au Junia Sifuri au Sufuri Maharage au Maharagwe Redia au Radio Sekondori au sekendari. Sufuria au Sifiria
0 Reactions
12 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MCHEZAJI filamu za Bongo, Mohamed Miwkongi maarufu kwa jina la Frank, amesema kuwa lugha ya kiingereza ni kikwazo kikubwa na huwapiga chenga wasanii wengi wa filamu za Bongo. Frank alisema kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
maisha ya kizazi cha sasa yapo hatarini kupoteza lugha tunazo zitumia. Ukiangalia kwa makini vijana wa sasa hawafahamu kuongea kwa ufasaha kiswahili, kiingereza, na hata lugha zetu za asili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu Kiswahili kina sauti ngapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanaJF ninaomba 2saidiane unajua ninashndwa kuelewa wap 2napoelekea mana kila kukicha ninaona kiswahili ama lugha sijui niseme inakuwa ama kuharibika mana kila siku maneno mapya tena yenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikichanganyikiwa hasa katika matumizi ya maneno haya 1. Mahindi mabichi: yanachomwa au yanabanikwa? 2. vitumbua: vinachomwa au vinakaangwa?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Je Wajua maana ya neno SHAROBARO?Maana yake ni ****** ya nyani;hiyo ni kwa mujibu wa kamusi(Dictionary) ya lugha ya Kiswahili.Huwezi amini,lakini ndiyo ukweli wenyewe huo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu nadhani huyu mtangazaji wa TBC1, Emanuel Amas huwa anakosea pale anaposema "Nikiiripotia TBC1,,mimi ni Emanuel Amasi", iwapo yeye ni mwajiriwa na si kanjanja tu wa kukodi. Kama huwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…