Hayati Bibi Titi Mohamed alipojiunga na TANU alimshauri Hayati Nyerere alifunze Kiswahili, binafsi nimekuwa nikijiuliza na kuduwaa kwa hili, maana Wakoloni kuanzia Wajeremani walijifunza na...
Hivi ni sahihi kumuita SECOND MISTRESS wakati kukiwa na HEAD MASTER. Ninavyojua second mistress ni msaidizi wa head master hivyo alitakiwa aitwe SECOND MASTER hata kama ni mwanamke. Nisaidieni...
Wajameni naomba kufafanuliwa hili neno FISADI! hapo nyuma tumesikia kua ufisadi ni ubadhirifu wa mali za umma au kujilimbikizia mali kwa njia isiyo halali, lakini hapa karibuni tumemsikia mkubwa...
Kuna baadhi ya misemo watu wanapenda kuizungumza na wengine kuiandika kwenye magari kwa nyuma kama ujumbe,mda mwingine kufurahisha watu au kuelimisha.
Ila msemo mmoja unasema kwamba ''MASIKINI...
Ndugu wana JF,
Tafsiri ya "Development Finance" kwa Kiswahili imenipa shida sana. Je ni Maendeleo ya Fedha au Fedha za Maendeleo, au nk.
Naomba msaada.
Wenu,
Bavuvi
Jamani neno "virusi" limeingia katika lugha.
Wengu huandika "Virusi vya UKIMWI", "virusi vya kompyuta".
Lakini hii ina matata. Nimeshaona watu wanaoandika "virusi vya kompyuta ni hatari; wiki...
WanaJamii
Habari ya mchana, poleni na majukumu na tafakuri za hapa na pale
Wandugu, nina thesis naiandika kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na nahitajika kutumia neno kuchakachua kwa kiingereza...
hivi karibuni nilitembelea wilaya ya mpwapwa na katika kijiji kimoja mwanafunzi mmoja wa kike aliyemaliza kidato cha 4 mwaka jana katika shule ya kata ya kata hiyo mpya iliyoanzishwa hivi karibuni...
Neno Mfawidhi hutumika kwenye nyadhifa ya baadhi ya Weledi kama vile za Utabibu kuwa Waganga/Wauguzi Wafawidhi, kwenye Sheria kuna Jaji Mfawidhi, n. k. Nimeangalia kwenye Kamusi ya Tuki wametoa...
Jamani eh, mimi natatizika sana na hili neno Daktari Bingwa. Kimantiki linaonekana kama mtu aliyebobea katika fani fulani ingawa kwa matumizi nadhani linamaanisha daktari aliyespecialise katika...
Naomba wana JF mnisaidie, neno sahihi ni lipi?
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA au JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA?
Naomba nipate ufafanuzi wa kila moja
tasunyata kama kinda,
ni spika wetu makinda,
sheria sasa zamdinda,
na hoja anazisunda.
wengi tumeshuhudia,
kwanza kilipowadia,
hasira kukusudia,
leo nimeshuhudia.
bunge limekosa spika,
viroja...
NINAVYOFAHAMU MIMI
Neno "chakachua" tayari ni neno sanifu la kiswahili na lilianza kupata umaarufu baada ya EWURA kuanzisha kampeni kabambe ya kudhibiti vitendo vya kuchakachua mafuta hususani...
Kama kuna misemo itakumbukwa ssana katika uchaguzi mkuu wa 2010 nchini Tanzania ni matumizi ya neno kuchakachua.
neno hili lkimekuwa maarufu sana na hivi sasa mbali na kuanzza kutumiwa katika...