I am working on localizing some open source software and I need some help with the following terms:-
checkout - last step when purchasing staff online or at a supermarket
order (verb) - giving...
Ndugu wana JF,
Ninafanya utafiti kuhusu wafasiri na wakalimani Tanzania kwa lengo la kufahamu ukubwa wa soko la ajira au huduma hizi hapa nchini. Kusudio kuu la utafiti huu ni kuandaa mtaala wa...
Unajua tafsiri ya Maneno ya IT?
Ibandike Hapa!
Copy - Nakili
Paste - Bandika?
Cut - Kata
Edit - Rekebisha
File - Faili
Yaani hata sijafika mbali weledi umeniisha...msaada jamani
Naomba tafsiri ya maneno haya kama yapo kwenye matumizi
1) Opinion polls
2) Preferencial polls
3) Nomination polls
Nilishindwa kuelewa tofauti pale ambapo kura zile za kupendekeza...
Wana lugha nahisi msamiati kuchakachua umekuwa ni msamiati uliokuwa na kutumiwa sana katika lugha yetu ya taifa na kuwa ni msamiati uliopata umaarufu kwa kipindi kifupi,na kukua kwa msamiati...
Hii hadithi inatoka hapa: http://vijana.fm/tag/jicho-la-tatu/
"Mwendo ni Kula Raha" ni kisa kutoka kwa kijana anayeitwa Magirini; yaliyotokea tarehe 15 Novemba, 2002...
==========================================================
0-9
10q Thank you
10x Thanks
1337 From the word Leet, derived from the word elite
2 Too, or to
2L8 Too...
kwanza kuna hili la 'mbele za mungu'
kwani ni mbele za mungu au mbele ya mungu??????
ukisema mbele za mungu ni kama unasema mbele zake mungu(his private parts)
halafu kuna hili la nabii na...
Hodi Hodi Jamvini, Malenga na wasomaji,
Tafadhali tambueni, tumeupata mtaji,
Tunakuja uwanjani, jengo tunalihitaji,
Kura zenu ni muhimu, ili kuwa wapangaji.
Timu imekamilika, kila idara yatosha...
1. Abdalla, A., 1973. Ushairi wa Kiswahili na Uhuishwe Usiuliwe Zinduko. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu.
2. Abdallah, A., 1977. Mashairi ya Miaka Kumi ya Azimio la Arusha UKUTA, Dar es Salaam...
Hivi ni kweli hakuna maneno ya kiswahili au Kibantu ambayo yanaweza kutumika kulipunguzia mzigo neno "Mkuu"?, Hetu angalieni lilivyoelemewa:
Prime Minister = Waziri Mkuu
Permanent...
wadau kati ya ''Academic Registration Information System''na ''Academic Information Registration System'' ipi ni sahihi zaidi kueleza mfumo wa kurekodi/ kuhifadhi taarifa/takwimu za kitaaluma za...
Ukiyaonja mapenzi utaujuwa utamu
Ndipo utapoyaenzi ukayaona adhimu
Nakupenda Mwenye enzi Ilahi Mola Karimu
Nisikupende kwa nini Nawe Umenikirimu
Nisikupende kwa nini Ya Ilahi ya Karimu
Nawe...