Neno mzigo Lina maana nyingi sana....
Mzigo - pesa ....Utasikia jamaa ana mzigo..
Mzigo - mchepuko...Utasikia Yule dada mzigo wa jamaa...
Mzigo- makalio makubwa ...Utasikia Yule dada ana mzigo...
Shairi bora kupata kutokea
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2...
Mgeni siku ya kwanza
mpe mchele na panza;
mtilie kifuani,
mkaribishe mgeni.
Mgeni siku ya pili
mpe ziwa na samli;
mahaba yakizidia,
mzidishie mgeni.
Mgeni siku ya tatu
jumbani hamuna kitu.
mna...
Whap'am? - Hello?
The official national language of Jamaica is English although Jamaicans speak an English dialect called ''Jamaican Patois''. The communication accent can be difficult for other...
As I promised last time, today we want to see the difference btn BRING/GIVE
a) BRING: This is used when something is not in hand of a person talking to. Eg. When you need drinking water you...
Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema “Maandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi...
Azam media imebamba hapa Tanzania!
Watanzania wanatazama na kuvutiwa na tamthilia zinazorushwa kwenye Chanel hii!
Bahati mbaya waswahili wanaonakilisha sauti kwenye tamthilia Wana shida kubwa...
Kila anapomaliza kumkaribisha Oni Sigala (Mhariri Mtendaji wa BAKITA) humalizia kwa kujiita eti "Mfalme wa Lugha". HAPANA Abel USIFANYE HIVYO. Sioni chochote cha wewe kujiita jina hilo KUBWA...
Fasihi Simulizi ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. TUKI (2004) Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi...
Naliandika kwa wino, tozi linanidondoka
Ni vipi hiki kibano, kwako nilichokikuta
Tozi linanidondoka.
Nilihisi nimefika, kwako nikajiburuta
Kiu yangu kadhalika, kubwa ilonikamata
Tozi...
Wadau wale wanazungumza lugha ya hispania hapa ndio tuongeze maujuzi maujanja tuchat kwa lugha hii tusipoteze dira ili na wale amabao wana uelewa mdogo waendelee kuzoea.
Ushauri
Tufanye yetu...
MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE)
Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao.
Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa...
Habari Wanandugu,
Katika kitu ambacho huwa kinanishangaza katika nyakati hizi ni maandishi na matamshi ya baadhi ya herufi na silabi. Huwa najiuliza kuwa Watanzania tunakwama wapi kwenye herufi...
Ndugu wanabodi nilikuwa naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kujifunza kijerumani kwa ufasaha kuongea na kuandika hata kama ni kwa njia ya mtandaoni nipo tiyari