Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Leo nimekiwa nikiswahilisha baadhi ya programu na nikakumbana na maneno ambayo sikuweza kupata tafsiri kwa ajili ya matumizi ya kwenye kompyuta:- animate - give lifelike qualities to...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naanza yangu qauli Kwa jina lake Jalali Alomleta Rasuli Kuiongoa duniya 2 Reh'ema zake A'zizi Zishuke kwa Mwokozi Kipenzi chake Mwenyezi Na Aali zake jamiya 3 Na S'ahaba zake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania na wale wote mnaozungumza Kiswahili, Kwa mwaka wa pili sasa nimekuwa nikijushughulisha na kuswahilisha programu za kompyuta. Mwaka huu tunapenda kufanya programu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajuzi wa lugha..naomba kufahamu neno KUCHAKACHUA linatokana na nini na maana yake ni nini.Miaka ya nyuma kulikuwa na bendi inapiga muziki kwa style ya "CHAKACHUA" - Je kuna uhusiano wowote na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
The World Cup and the credit crunch have all influenced the latest edition of the Oxford Dictionary of English. The vuvuzela, a horn instrument blown by football fans during the World...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau nimeonelea Jukwaa kulitembelea Chujio kulisemelea Wasione laelea Chujio litazame Lilivyo kifalme Ndo nikaona niseme Hadi niwe mkame Chujio lile la tui Kama ulikuwa hujui Chujio sio adui...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana, Hebu jamani tuache uharibifu wa lugha yetu maridhawa, Kiswahili. Ninayo mifano mingi ya uharibifu, lakini ngoja niwape hii michache. 1. Tangazo la Zain linasema "Ongea kwa Sh 1 masaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
je,mwnafunzi anaruhusiwa kuchora maua wakati anajibu swali la kadi ya mwaliko kwenye mtihani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mada nimeiona inamzungumzia mzee kidogo lugha imekwenda pembeni anyway kwetu kenya twawaita maimuna nkasema leo nije uliza watanzania katibuw enu maimuna?? kama ndie akiitwa nje shuguli za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana tulikuwa na boss mzungu mahala tunakula stori mara akaanza kutuuliza maana ya majina ya maeneo mfano Mwananyamala, wasahikaji wakawahi mtoto nyamaza na kumtafsiria kwa kingereza. Alipouliza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ngoma hii ngoma gani, ngoma isiyo kelele Wanaicheza kwanini, pasipo vigelegele, Majasho yote ya nini, bila ngoma na kengele, Sichezi miye sichezi, ngoma isiyo kelele! Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A single drop does not make a rainfall. "WE ARE WHAT WE ARE AND WHERE WE ARE, BECAUSE OF OUR OWN ACTIONS"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitayasema haya, Bila kuyaonea haya, Tuuche umalaya, Utatupeleka kubaya. Viwili Mola aliumba, Kutimiza yake namba, Mme alipomuumba, Na mke pia akamuumba. Ni vipi wewe wataka, Tena tamaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu;neno lenyewe ni SOCIALIZATION Wakuu hapa jamvini naombeni msaada wenu iliniweze kumfahamu na kuwafahamisha wengine pia.
0 Reactions
4 Replies
15K Views
Waungwana, Nimekuwa nikitafuta kamusi ya kiswahili inayoweza kukidhi fani kama za Kompyuta, Internet na Telecommunication, bila mafanikio. Kama kuna mtu yeyote anafahamu ni juhudi gani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Good morning I need to translate a phrase from Swahili into English, but I do not know why it gets no automatic translation. I hope some of you can help me. The phrase is: Nahiitaji uwe furaaha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nini maana ya WOZA, naomba kuulizia Neno linanitatiza, kila nikifiria Wale nilowauliza, jibu hawakunipatia Nipeni maana yake, wale mnaofahamu. Nilimwuliza ayubu, jibu hakunipatia Akajifanya ni...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Uzee kitu adhimu, huo ninauingia Ujana sasa adimu, Shabani aliusia Maungoni mwangu humu, uzee unanijia, Na miye nakusalimu, mgeni wangu uzee! Mbali ninamuachia, rafiki yangu ujana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaamu salamuni, waungwana nawajia Mababu wa mizimuni, walokwisha tangulia Najongea kwa huzuni, najizuia kulia ulimwengu wa mapenzi, buriani aagia Ulimwengu wa mapenzi, buriani naagia...
0 Reactions
82 Replies
13K Views
Chemsha bongo kwa wana JF: Je nani anaweza kutaja nchi nne za Africa ambazo hazijawahi kutawaliwa bila kutumia google au search engine nyingine?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…