Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza...
Tarehe 30 september kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Tunaotafsiri vitabu tunapata shida sana kwa kukosekana kwa maneno rasmi ya kuelezea maana fulani.
Lakini mtaani utakuta kuna maneno...
Wawe wanashirikisha wadau bana.
Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti...
Kiingereza hatujui na lugha yetu adimu na adhimu kila siku tunaiharibu kwa kuingiza maneno ya kihuni. Tunakosa nafasi za kufundisha nje ya nchi pamoja na kazi za kutafsiri.
Tutumie lugha moja ili...
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
Habari...
Kiswahili ni Kibantu, lugha nyingi za kibantu zina articles zao kama ilivyo kwa lugha zisizo za kibantu. Sasa huwa najiuliza sana ni kwanini Lugha ya Kiswahili inakosa articles rasmi...
Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote.
VIJULANA WENZANGU...
Achari yalisha.
The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.)
Ada ya mja hunena...
Kitabu cha kiswahili utasoma siku moja au mbili umemaliza. Cha kiingereza utasoma wiki na zaidi na usimalize kamwe. Kwa sababu kiingereza kwetu huumiza kichwa na akili na kuleta kigugumizi.
Hata...
Mahali mbalimbali
Kuna mahali au sehemu mbalimbali za kufanyia shughuli mbali mbali.
Yatazame maelezo ya mahali yafuatayo.
1. Maktaba: sehemu ya kuwekea vitabu kwa ajili ya kusoma na kuazima.
2...
Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet
Mfano...
As usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!!
Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ;
"make Apo kwanza nicheke""" dah
Mara "Mambo" ...