Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
SISI NYUKI TUNASEMA, TUPO NA MALKIA WETU 1. Sisi ni nyuki wakali, Imara tumesimama Kwa dhati pia ukweli, Tutamsaidia mama Tuko ngangari kamili, Kuipa nchi heshima Sisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi mwandishi ama mchangiaji wa mada anaweza kutumia 'inbuild feature" iliyopo hapa jukwani kuandika maandishi yake kwa ""bold text eg. 𝗣𝗹𝗲𝗮𝘀𝗲 𝗻𝗼𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗮𝘁" ama "italic text eg. 𝑷𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒏𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒉𝒂𝒕"...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Nimefuatilia mara kadhaa kuona uwezo wa Paulo kujibu hoja kwa kutumia lugha yake ya darasani , mara kadhaa anaponyemelea vyombo vya habari ujificha kwenye kiswahili. Niombe kujua kiingereza kipo...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi...
4 Reactions
24 Replies
11K Views
Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam JF, Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus" Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama walivyo waendesha vyombo vya moto huwa na majina rasmi mfano: Muendesha ndege ni Rubani Muendesha gari ni Dereva Muendesha meli ni Nahodha Je muendesha treni au garimoshi anaitwa nani?
0 Reactions
30 Replies
100K Views
Wakuu, naomba kujuzwa the best Swahili to English(and vice versa) Translation software. Google Translator haifanyi vizuri sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari... Yawezekana nisieleweke hapo juu kwenye heading lakini vyovyote utakavyoiweka sawa tu ilimradi utanielewa kwenye maelezo Unakuta neno la Kiingereza linakuwa na tafsiri (definition)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nalitumia, kusikia sana msemo huu "CHAMTEMA KUNI" kwa muda mrefu sasa katika maisha yangu ya kila siku. Najua kuna maneno yanatumika kwa maana hiyo hiyo kama vile; kilichomtoa kanga...
2 Reactions
140 Replies
58K Views
Mama mh. SSH ameshatupatia neno jipya kusahafu (kusaafu?) ng’ombe. Kazi Ina endelea na darasa humo humo!
1 Reactions
2 Replies
954 Views
Nimepewa taarifa na mjukuu'angu mmoja ya kwamba kuna uharibifu mkubwa sana wa lugha yetu ya kiswahili humu jamvini. Kwa hiyo nimekuja hapa kuwa adhibu wale wote wanaoharibu lugha yetu takatifu...
1 Reactions
53 Replies
18K Views
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga? Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali...
2 Reactions
44 Replies
250K Views
Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake. "Kumkoma nyani giladi" Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Paka kiwepo pahala,panya hawana pirika, Pale kakamata dola, panya wanadhoofika. Mashimoni wanalala, kero tunapumzika. Tangu paka kuondoka,panya nyumba watawala. Paka walikuwa jela,kifungo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnamo mwaka 1995 hivi, palikuwa na uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania. Uchaguzi ule ulikuwa na ushindani. Nyakati hizo, runinga ndio zinaingia Tanzania-bara. Palikuwa ni...
8 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama hawana tofauti, kwa nini mnyama mmoja tupoteze muda kumpa majina mawili?
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Wanajamvi salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Na mtoto wangu anasoma darasa la pili sasa kuna kazi wamepewa yakuandika maneno ya kiswahili yenye maana yanayo anziwa na Mwa, mwe, mwi, mwo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini maneno...
3 Reactions
58 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…