Wadau Habari za jumapili,
Kwa miaka mingi sana huu msemo "Ulimi hauna mfupa" umekuwa ukitumika hususani pale mtu anapoteleza kuzungumza jambo, nimekuwa nikijiuliza aliyetunga msemo huu alikuwa...
Mimi pamoja na kufanya kazi hospitalini kwa muda wa miaka kumi sasa sikua nafahamu kuwa musk inaitwa barakoa kwa kiswahili, vipi wewe mdau,je ulikua unajua kuwa musk inaitwa barakoa?
Kwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu Kiganda cha Uganda, Kinyarwanda cha Rwanda na Kilingala cha Congo.
Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi...
Huu utandawazi nao umekuja kufanya watu wanakuwa malimbukeni..
Unakutana na Mwanamke siku ya kwanza (kwa kawaida huwa wanapretend sana na kujifanya watakatifu) Anaongea viswahili viwili na...
KARIBU NGOMANI
Manju utamu wa ngoma, ingia ndani ucheze
Kuicheza ukigoma, siyo marimba ukaze
Ngoma siyo homa homa, mdundo tusiuwaze
Karibu tena ngomani, uone hali halisi.
Wale walojua ngoma...
Hisabati na Tarakimu
Msamiati wa hesabu/hisabati unaangazia: majina mbalimbali ya tarakimu/nambari; kuandika tarakimu kwa herufi.maneno; tarakimu za kiarabu; akisami (fractions) na asilimia...
Msamiati wa Nyakati na Saa
NYAKATI NA SAA
Kitengo
Msamiati
MASOMO
Prev
Vitate, Vitawe, Visawe
Next
Msamiati wa Majina ya Ukoo
Siku za Juma
Juma au wiki moja huwa na siku saba...
Habari zenu Waungwana!
Ni imani ya moyo, akili, falsafa ziloshiba mantiki ya hapa na kule ya kwamba wengi kati yenu ni Wanalugha.
Hebu nisaidieni ni lipi neno sahihi kati ya haya mawili?
#"S"...
Elimu yangu ni form four niliyoipata Shule ya Jumuiya Tanga (Shule ya Jumuiya ya wazazi) na kufaulu daraja la tatu points 23 mwaka 1993. Tokea hapo nimefanya kazi na wazungu mpaka nikafikia level...
*All your answer should start with "W" only*
Try to solve like example 1,2,3👍👍
1. We all drink ...Water
2. A colour .... White
3. A dry fruit....Walnut
4. A direction...
5. Marriage...
6...
nimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA...
Ukisoma mitandao mingi ya kijamii watu siku hizi wana kamsemo ka kumalizia hoja zao. Utakuta mtu anatiririka hoja zake wee mwisho anafunga kwa; Tulikosea mahali 2015. Wanamaanisha nini?
Wasalaam,
Wataalam wa Ligha nawahitaji hapa!
Kwa Kiswahili sijui ndo Ingawa, Pamoja na, Hata kama,Ijapokuwa. Je, ipi ni ipi?
Yaani hizo Inspite na Despite zina maana gani kwa Kiswahili na ipi...