Je, mzazi wako unaweza kumuita mlezi wako?
Naomba michango yenu wadau kwani naamini hapa ndipo kisima cha fikira na michango hai katika hiyo hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya’raabi nipe kauli, niseme hili na lile,
Kauli isiyo kali, isiwe kama ya yule,
Niseme lililo kweli, la mbuni hawa na wale,
Mbuni kichwa mchangani, kwanini mbuni habuni?
Mbuni wana ile hali, hali...
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia...
kama elimu bahari, makasia yako wapi?
jahazi za kifahari, dereva twapata wapi?
ataendesha kwa shari, kweli tutafika wapi?
bahari ikitulia, chombo kitarudi pwani.
mengi majahazi yapo, kwa majina...
Nawaza nawazua
Kama ni fumbo fumbua
Ila Kitendawili tegua
Twenti twenti ilishawadia
Uchaguzi watunyemelea
Siasa yaanza kukolea
Yatupasa vijana kuingia
Huu muda si wa kuzodoa
Taifa linatutegemea...
CHOZI LA MWANA ZIWANI
Ngozi yote mesinyaa,
Nywele zote mesosoka
Chuchu zote mesinyaa,
Kwake amebahatika
Jasho linamhadaa,
Maziwa meshakatika
CHOZI LA MWANA ZIWANI,
NANI ATAELIONA
Maisha yalo...
1. Haki ya nani
Watu wamekuwa wakiapiza Sana kutumia haya maneno. Nimezoea sana kusikia watu wakiapiza kwa maneno ya yanayohusisha Mungu mfano " haki ya Mungu naapa, Maasafu ya Mtume, Yesu Kristu...
Aliyependekeza kukumbushana lugha ya Kifaransa nakuunga mkono, inawezekana maana tupo wengi ila tunakuwa dormant kwa kutoitumia lugha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
MUME AMEKUIBIA
Mama Joti! Mama Joti!, hebu njoo mara moja
Wala usije na kiti, naharaka sitangoja
Tena uvae thabiti, ukatazame vihoja
Mwivi uliyemfuga, mume amekuibia.
Niliyoyaona huko...
Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani...
Huwa nasikia watangazaji wa mpira wakisema Mkwaju wa penalti.
Mkwaju ni nini? Na hivyo kuna mikwaju ya nini na nini.
Karibuni wataalam wa Kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
KIINGEREZA SI LUGHA YETU
__________________
Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya...