Pesa ina majina mengi sana ya Mtaani wewe Unatumia Lipi,
Mi natumia (FUBA).
Mfano:
"Yule mwana Ana FUBA za kutosha"
Cc Zero iq
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Kiswahili kuonesha utata wa Lugha.
- Ni kwa vipi Lugha imekuwa gumzo kutokana na baadhi ya maneno kuingiliana, kufanana au kukosekana.
- Au ni vipi watumiaji wa lugha walivyo kuwa na...
Wakati fulani hapa JF watu husema kusoma si kuelimika, hivi tofauti ya Elimu na usomi ni nini. Unawezaje kutofautisha msomi ambaye hajaelimika na mtu aliyeelimika lakini ambaye si msomi?
Mara nyingi nisomapo makala ndefu za Kiswahili sikosi kukutana na angalau neno moja la Kiswahili linaloonekana kuwa jipya kwangu. At the same time, the same article may contain a few familiar...
Utasikia naomba radhi, Mara amekosa radhi ya wazazi wake, Mara nitake radhi, mara nitakuachia radhi.
Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga...
Wabongo wengi tumezoea kumuita Nairobi Fly, mara ya kwanza kujua kuna mdudu kama huyu ilikuwa mwaka 2005 nikiwa A level. Niliposikia wanamuita Nairobi Fly nikajua kuwa ni wadudu wenye asili ya...
TABIA YA MUUNGWANA
Kuno kunena kunena, leo nalinena hili
Nalinena kwa mapana, kwa lugha ya kiswahili
Tabiaze muungwana, si mtu wa ndimi mbili
Kutosheka na akali, tabia ya muungwana.
Nawala hawi...
Kumekuwa na changamoto kwenye lugha ya Kiganda, tafadhali anayejua maneno mepesi yatakayomsaidia Mfanyabiashara kubargain biashara kwa lugha hii anisaidie.
Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa napenda nianze kwa kukiri kuwa Kiswahili bado ni lugha inayonipiga chenga pahala pengi. Hivyo kuna pahala pengi katika hoja yangu nitachanganya na lugha ya Kiingereza, pamoja na...