SHAABAN ROBERT, MSWAHILI ALIEMUDU KIINGEREZA.
Watu wengi hudhani kwamba kuwa mfuasi wa kiswahili ni ishara ya kwamba hufahamu lugha ya kingereza,na wengine huamini kwamba kupigania kiswahili ni...
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't...
Nimekutana na huu msemo kwenye jamii fulani, 'cheka na watu uweze kuvaa viatu'.nimeutafakari sana na mpaka sasa sijajua maana yake wakuu.Nisaidieni una maana gani?
Ikawa tunaita Yanga, mpaka leo hii ni Yanga tu, hivi kwa nini hawakubadilisha jina na kuleta lingine lenye maana? Mbona Simba walibadilisha kutoka Sandalendi (Sunderland)?
Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine...
Kadri siku zinavyoenda lugha yetu adimu ya kiswahili inazidi kuchimbiwa kaburi.
Leo vijana wetu hawawezi kuongea kiswahili fasaha kwa dakika 5 mfululizo, lazima aweke na neno au maneno ya...
NUKUU ISHIRINI NA TANO ZA SHAABAN ROBERT KUTOKA KATIKA RIWAYA YA KUSADIKIKA.
1. "Kipawa chochote cha mtu kama hakikuongozwa vyema huweza kuwa hatari au maangamizi kwa wengine".
2. " Mchwa...
Leo nikiwa napitia jumbe mbalimbali zinazotumwa ktk mitandao ya kijamii, nimekutana na ujumbe mfupi uliotumwa ili kumfurahisha msomaji lkn ulikuwa hakika ni wenye kutafakarisha.
Ujumbe wenyewe...
Katika pita pita zangu nikakutana na haya maneno ya kiingereza ila yamenitoa K.O nikaona hadi kizunguzungu hatari!! anaejua kiswahili fasaha cha haya maneno anisaidie:
Ecstatically
Flabbergasted...
Wengi hasa vijana wa enzi zetu zike za Ben Mtobwa na wengine,tulikuwa tukiwafuatilia sana hawa jamaa wawili Joram na Willy,ukweli ni kwamba wazee tulifaidi mengi sana,siyo kama vijana wa sasa...
kama title inavyosema apo juu wakuu
nimekua nikilisikia hili neno ila sijapata maana yake kamil
neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake na isitoshe kuna watu wana litumia sana humu...