Habari wana JF.
Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha kwa kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko...
Habari zenu wana JF, Nimekuja naomba mnisaidie maana ya msemo ufuatao: Kuna sehemu nilikuwa nikipita mama mmoja alikuwa anapenda kuniimbia wimbo huu Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...
1. Head of Department - Mudiri wa Idara "ya"
2. Dean of School - Amidi wa Shule kuu
3. Dean of Faculty - Mtiva wa Kitivo "cha"
4. Collage - Ndaki
5. Principle - Rasi
6. Principle of Campus...
Kutokana na sakata la kuibiwa machine ya Ultrasoud, vyombo vingi vya habari vimekua vikielezea kuhusu tukio hili.
Wengi wamekua na matamshi tofauti, sasa je tunatamka Yutrasaund au Altrasound...
1. ARBITRARY: based on individual discretion or judgement, NOT based on OBJECTIVE distinction, perhaps even made at RANDOM.
2. AMBIGUITY: something, particularly words and sentences open to more...
Kuna mengi katika historia ya ushairi na maisha ya washairi ndani ya Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa haijukani na wengi wala kuhuifadhiwa katika kumbukumbu nzuri za kihistoria kwa sababu...
Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali; kisha anayejibu huhitajika kufikiria ili kutambua jibu. Kinyume na vitendawili, majibu ya mafumbo huwa na maelezo...
Kitendawili hiki ni maalumu kwa wale Magreatest Thinkers wanaopendelea na wenye uzoefu wa kula matunda. Ila kama wewe suala la kula matunda mpaka uandikiwe na daktari huwezi kujibu iki kitendawili...
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima. Leo ni siku nyingine tena tumekutana kupeana mawili matatu katika lugha ya kiingereza.
Siku ya leo tutajifunza jinsi ya kutumia SHOULD, COULD na WOULD...
Karibu moja kwa moja darasani
Simple Future Tense (‘ta’)
- Wakati huu huongelea jambo litakalofanyika na kukamilika mara moja wakati ujao.
Mifano; tutakuja, watatembea, atacheza.
- Wakati huu...
Unapoanza kujifunza kiingereza unatakiwa ujue baadhi ya kanuni muhimu ya lugha hii . Kanuni hizo utazijua baada ya kujifunza grammar .
Grammar itakusaidia kutunga sentensi zako kwa usahihi na pia...
Ni ajeee wana wa humu Ndichi hopefully mambo ni full yeng'eng'e...Basi bhana Jana Night baada ya kutoka kwenye Mbanga zangu za kusakanya Moneygram mjuba nikaona bora nipitie Shola(Shop)Nijipoze...
Kwema wana JamiiForums?!!!
Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama...