Wakuu habari,
Jana wakati Mkuu wa nchi akizungumza na wafanyabiashara alisikika akitoa maagizo kua watumishi Fulani wakamatwe kisha 'wasondekwe ndani'
Je neno ''kusondeka ndani"ni sahihi...
Nimeona kwenye Barua iliyoandikwa na ubalozi wetu nchini Oman na Muscat kwamba "Soft copy" Kiswahili chake ni nakala laini. Hebu wajuvi wa Lugha yetu hii adhimu tusaidieni kama tafsiri hii ni sahihi.
Ndugu zangu wanajamii foram na wasalimu salamu za kimakinika. Mimi charity. Ninapenda sana kujifunza, kujua na kukuza uwezo wangu katika kuzungumza na kutumia lugha ya kiingereza.
Nimatumaini na...
Pata maarifa ya kina kuhusu lugha ya Kiswahili kupitia tovuti hii
>>>>>> https://mwalimuwakiswahili.co.tz/
Pakua App ya Mwalimu wa Kiswahili hapa ππΏππΏππΏ...
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je...
Mwaka jana nilikutana na neno Diaba, lile ndoo kubwa la kuwekea maji, sikuwahi kujua linaitwa hivyo hata hivyo sikuwahi kulitumia mpaka hiyo siku mimeenda kununua kwa ajili ya kuwekea taka
Mimi ni mmoja wa waliopakua app ya Opera News.
Kinachonishangaza ukisoma vichwa vya habari vya Trending Videos ukiona kiswahili kinachotumika ni broken kupita maelezo nawazaga wanaoandika ni watu...
Waheshimiwa wana jf naomba kuelimishwa kuhusu lugha zetu wanadamu hususuni watanzania wenzangu.Hapa nchini tuna makabila zaidi ya 120 na kila kabila wana lugha yao wanayoitumia kwa mawasiliano na...
Salam.
Pambana na hali yako ...Kapambane na hali yako ...Kwani si upambane tu na hali yako ?! ...Umeshindwa kupambana na hali yako ?...
Nini maana ya ukapambane na hali yako ?
Ukakwibe ? Short...
Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE...
Kukicha au kukikucha?
Haya maneno yamekuwa yakitumika mara nyingi sana ila sijui lipi ni sahihi na lipi sio sahihi.
1:Kukicha tu naanza safari.
2:Kukikucha tu '''''''''''β'"'''''β'''''β''...
Treat every part of your towel nicely, because the part that wipes your buttocks today will wipe your face tomorrow.
Kwa lugha yetu =
Tumia kila sehemu ya kitambaa chako vizuri, kwa sababu...
Tusaidie uhusiano uliopo baina yao,unaweza pia kutoa maelezo kidogo
"Aisha introduces John as the son of the only brother of his father's wife. How is John related to Aisha?"
Sent using Jamii...