SAYANSI YA MAPEPO.
Maharage maharage,maharage leo kala
Sharubati kawa mbege,kelele kila mahala
Twiga kaota matege,na kijipembe cha swala
Hayakua ni matusi,pale akemea pepo.
Kweli mlichokiona,ile...
Hakuna uandishi bora au andiko bora pasipo uhariri bora. Hivyo uandishi mzuri hauwezi kutengwa na uhariri bora. Ni dhahiri kuwa makala au andiko lililohaririwa vyema na kwa ustadi wa hali ya juu...
kwenye mada moja kwa moja hivi majina kama vile lusungu, lukelo, twilumba na hata anjimie hivi majina haya huweza tumika kwa aina zote mbili za binadam nikimaanisha wanaume na wanawake au...
[emoji673] Nukta muhimu ya lugha: ukiambiwa *shukran* ni makosa kurudisha neno *afwan*(nimekusamehe)
kwani hayaendani; kwamba vipi unasamehe anayekushukuru!
Sahihi mtu anapokwambia *shukran*...
Ukisikia kwenye vipindi vya Radio na Tv na mijadala mbalimbali jinsi Kiswahili kinavyokuzwa na huku Wakikiponda Kiingereza, utadhani Kiswahili ni lugha moja iliyoenea sana
Ila Kumbe ukienda nchi...
Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.
Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha...
Habari wanajamvi,
Kuna baadhi ya taasisi kubwa ambazo zinatumia vibaya neno tunapenda.
Zinatumia neno hilo kutoa taarifa njema na mbaya bila kujali muktadha.
Kuna siku niliona taarifa kwa uma...
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni...
Jamani wataalamu wa lugha, hebu tusaidiane hii kitu iliokuja kwa meli, heading nzuri kwa kuandika barua ya kiofisi kwa lugha ya kiingereza kuhusu kuhairisha masomo kutokana na ugonjwa inaweza...
Suuratul An-nisaai 28
Mwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu.
Zaburi 56:4
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu...
Hili sakata limenifanya nifatilie na nijue nini maana ya neno "dhaifu" na je "dhaifu" ni tusi?
Maana ya neno "dhaifu" kutokana na kamusi.
Maana ''dhaifu'' , kivumishi....ni kitu kisicho na...