Habari niende moja kwa moja kwenye mada, hakuna kitu kinanikera kama mtu kuchanganya R au L katika neno mfano Rambo kuiita Lambo hili siku zinavozidi kwenda naona linazidi kua janga la taifa na...
Habarini wanajamvi.
Hakika hili lanitatiza,na ninaamini hapa ndipo penyewe.Ni hivi;
Mtoto anapozaliwa na kukutwa anajinsia ya kike.
Tutasema kazaliwa mtoto wa kike au kazaliwa mwanamke?
Nawasilisha
Kuna barua inayosambaa kwenye mitandao yenye kichwa cha habari "GHARAMA ZA LESENI KWA WASAFIRISHAJI WA VIFURUSHI, VIPETO NA NYARAKA "
Kama nilivyonukuu imetolewa na Mamlaka ya Mawasiliano...
Tunaishi nyakati ambazo siasa zetu zimetawaliwa na coded messages na matukio yanayohitaji tafakari ya juu kuweza kuyang'amua.
Nikitolea mfano wa haraka haraka ni hili jina 'Watu Wasiojulikana'...
Mbwa wazaa wengi, wazidiwaje na ng'ombe?
Swali hili ni la msingi, nijibu nipe ujumbe.
Najua hunipingi, wengi ng'ombe wenye pembe,
Wazidiwaje na ng'ombe, mbwa uzaaye wengi?
Mbwa ukizaa sita...
Malenga naanza hima,ukweli kuambiana
Kweli i wazi daima,yapasa kukumbushana
Walo watemi wajanja,kweli wajaribu ficha
Hili mujarabu Dongo,kwako wangu Magufuli
Wengi walishapotea, katika hali ni...
Hivi kuna sentensi moja nimekua nikiisikia hususan kwa watu wa dar na bara inayosema "nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake; kwa mimi mtu wa pwani naona sentensi hii...
Wanajf hamjambo!
Kama swali hapo ambalo huwa najiuliza mara kwa mara , Leo nimeona niwaletee tujadili kidogo kama inafaa au haifai with ground reasons.
Ukifika South Africa wao wana lugha kama...
Habari?
Nahitaji kuonana na mdau anayejuwa kusoma na kuandika lugha ya Kijapani.
Napatikana Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hili neno "F**k" limekua likinitatiza matumizi yake moja kwa moja.
Navojua maana yake ni kama tusi mfano mtu akisema'F**k you'obvious kakutukana, lakini pia nilikua naangalia tamasha fulani...