Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Je, kiingereza kinakusumbua? Je,hujajua sehemu sahihi ya kujifunza kiingereza? Sasa anza nasi kujifunza kiingereza kupitia mtandaoni (WhatsApp) utajifunza kiingereza kwa kiswahili hi ni...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Transcriber/translator needed in Moshi. Looking for an efficient and reliable transcriber/translator for Kiswahili interviews used in social science research. The research studies livelihoods of...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
1.UTANIKUMBUKA 1, Nikazibeba dhihaka, kukusitiri na chuki. Nikaitwa jina paka ,na mengi sana matusi. Lawama nikajivika, nikazidisha juhudi. Umenisahau...
2 Reactions
0 Replies
675 Views
Kuna mdau kanambia "I have many fishes to fly" akimaanisha ana mambo mengi ya kufanya. Kasema huu ni msemo wa englishi kumaanisha hivo. Wataakam wa lugha nisaidieni kama yupo sahihi sent using...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekuta mjadala kwenye daladala. Je ni sahihi mwanaume unapomwita kwa jina kuitika "RABEKAH"? Au anapaswa kuitika kuitika vp? Kuna ambao wanadai Rabekah wanaitika wanawake pekee. Kuna wanaume...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili Tena...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
*Useful information* [emoji888][emoji888][emoji888][emoji888][emoji888][emoji888][emoji888] 1. *PAN* Primary Account Number. 2. *PDF* Portable Document format. 3. *SIM* Subscriber Identity...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habarini zenu,, Nilikua naomba msaada wa maana ya hili neno "FURTHER"kwa kiswahili na matumizi yake katika Maongezi au sentensi Asanteni
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nilimsikia Mheshimiwa akiwaita "Local Producers"!
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu. Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni leksimu gani , ukitaja hurejelea utajo na urejeleo kwa wakati mmoja? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
734 Views
For those who think English is hard, no way its very easy language just flow with this post i gave out few example of well understood sentences and phrases. 1) The bandage was wound around the...
1 Reactions
1 Replies
882 Views
wakuu mbalimbali mlejee kichwa cha habari hapo juu. kama kuna neno la kiswahili fasaha unalijua unaweza kuliweka ikipendeza litungie sentensi. Nataka kuanza kuyaongea na Kuyaandika popote pale...
0 Reactions
63 Replies
13K Views
Mara kadhaa mmekuwa hamzingatii uandishi wa Kiswahili sanifu kwenye maelezo yenu ya picha. Ninyi ni miongoni mwa vituo bora kwa habari hizi 'wrong captions' zinawaharibia sifa, rekebisheni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wenye uzoefu wa sheria na itifaki His/her majesty najua ni Jalali (Mfalme) na Jalalati (malkia) mfano Jalalati Malkia wa Uingereza His/her excellency (ukiwa unamzungumzia Rais)? Right...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nini maana ya neno kuoana?! Nini Tofauti Kati ya kuchumbia/kuchumbiwa na kuposa/kuposwa?! Mfano:- Unasikia mwanamke/mwanaume(mwanamme) anasema Mimi na mke/mme(mume) wangu tumeoana. Wanamaanisha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hi members, I would love to get some info on TOEFL please,where and when it can be done Regards
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajukwaa Omba hela, omba chochote kitu waweza nyimwa.....lkn mgaagaa na upwa haliwali mkavu Nianze kuomba wale wanaojua kujibu fyoko...waendeleee sisi hatutochi hatupoi kujifunza...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Kuna haka kaneno nimekuwa nikikasikia mara kwa mara kanatumika na watu marika tofauti naweza kuita ni msimu "Hoves" ama "Hovesi" huwa maana yake ni nini? Anaejua anifafanulie tafadhali. Mfano...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…