Umewahi kuwa na ndoto ya kuzungumza Kifaransa kama lugha ya mama? Usikate tamaa, unaweza kuomba mwalimu kwa njia ya mtandao akakufundisha ukiwa nyumbani kwako maana KIFARANSA ukipata mwl mzuri...
Utamu wa embe dodo, nawaambia vijana,
Ni embe lisilo nyodo, mfano wake hakuna,
Hamuye ninayo bado, kwa mengine mimi sina,
Nimekula embe dodo, bolibo sitaki tena!
Nilipoona bolibo, nilidhani...
KHA-KISA GIZA.
1.Hakika kuna machungu,kushuhudia ajali
Eti amepanga Mungu,basi sisi tusijali
Si Leo ni zama tangu,watu wanatupwa mbali
Kha eti kisa ni giza,twasitisha kuopoa !.
2.Giza lazuia...
mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum...
TUPEANE MIKONO.
1.Tukipeana mikono,ni ishara ya upendo
Kuna ua migongano,mikono funzo la jando
Waonao mgangano,hao wana mbovu nyendo
Nakupenda wanipenda,tupeane na mikono.
2.Tukipeana...
1.Kweli ulitupa tabu,tena tabu kubwa sana
Tabu zilo na sababu,hasa ulipo tuchana
Uliwasema vibabu,wazee hata vijana
Mapoti na mabawabu,uliwaponda mchana
Dada kuacha siasa,wazee tutapumua...
Wadau za saa hz? Mie naomba kuuliza tu, hivi hili neno haki lina maana gani hasa?
Unakuta mwanasiasa mpinzani anasema yupo tayari kufa kwa ajili ya kutafuta haki.
Mwenye madaraka nae anasema...
Nini maana yake ya
-Mizimu...
-Maraika...
Na je, upi mwanzo wa
-Maraika....
-Mizimu..
Nini tofauti ya
-Mizimu..
-maraika
Na je nini kazi ya
-Mizimu
-Maraika
Habari zenu wadau!
Ni watu wachache tu ndiyo wanaoelewa kwamba Wamisionari walichangia sana katika makuzi ya lugha ya Kiswahili has a Askofu Steer na John Krapf.
Walipokuwa Mombasa mwaka 1844...
TUKI wataalamu wa Kiswahili hii inawahusu. Hii misamiati inapaswa kubadilishwa ili kuendana na kasi ya mweshimiwa.
1. Mbunge....huyu awe ni mtu anayepaswa kuunga mkono serikali na ikulu kwa kila...
Kama ww mpenzi wa lugha ya kifaransa Ntakuletea jinsi ya kutumia kifaransa sanifu kwa kupitia Michezo nyepesi na Masuala mbalimbali.
Leo nakuletea Verb "ETRE" Badilisha Makalima haya yawe...
Habari za kazi wakuu na poleni Kwa majukumu ya kila siku ndugu zanguni.
Husika na kichwa cha habari hapo juu najua kila mmoja wetu anataka kujua Ni kauli Gani???
Kauli hii "Tumemuhifadhi mahala...
1.Nanena kimtang'ata,kwa lugha ya kiswahili
Nachanganya kimvita,nikikanyaga pedeli
Inuka ninakuita,ewe mwana wa mjoli
Swali tena nauliza,soma chini kibwagizo.
2.Kisa una ndugu wengi,pwani le ya...