The Awful Dentist
He read medicine,
Specialising in the tooth,
And graduated, with honours
With new thesis
To cure the aching malady.
"Our teeth shall be all right!"
People chanted, welcoming his...
Habarini za asubuhi wana JMF wenangu natumai tumeamka salama
Niende moja kwa moja kwenye point naomba kufahamu app nzuri za kujifunzia kiingereza na kifaransa kwa wepesi zaidi iwe za online au za...
Kwa kipindi cha nyuma,michezo ya jukwaani ilikuwa ni sehemu ya Sanaa ilopata umaarufu sana nchini kutokana na jinsi michezo hiyo ilivyokuwa na nguvu kubwa ya kuiteka jamii ya watanzania katika...
Wakuu..
Baada ya mapambano ya maneno wiki iliyopita kuna upande mmoja dudubaya a.k.a Konkie anawatuhumu watu flani kuwa na mashoga na ukaibuka upande mwingine pia ukimtuhumu dudubaya kuwa ni shoga...
A young boy aged between 24-27 years in average insulted a young female school teacher. The incident happened around 7:10 am when the teacher tried to show her ID as per RC Makonda initiative to...
Naomba kusaidiwa hili swali la kiswahili kwa anayejua.
SWALI......Athari hasi na chanya za fasihi simulizi katika kufaraguza fasihi andishi ya kiswahili ya hivi leo
UTENZI WA VITA VYA KAGERA NA ANGUKO LA IDD AMINI DADA.
Amani iwe juu yenu ndugu wapendwa.
Vita vya Kagera ni moja katika ya vita maarufu katika historia ya Afrika na historia ya Tanzania..
Ni...
Mtanisamehe kama imewahi ulizwa humu, me sikuiona, mtu kaniuliza na me cna jibu.
Mtu wenye jicho moja anaeleza kuwa hajalala kwakusema "Niko macho" au niko "Niko jicho?"
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kupotea kwa mwandishi Jamal Kashogi nchini Uturuki.Jana nimekumbana na msamiati mpya,"The interrogation that went wrong" au kwa Kiswahili "mahojiano...