Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Jamani naomba kujua maana ya maneno haya ambayo yamekuwa yakitumika sana sasa hivi: kudamshi,konki,kudanga
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Lugha hadhim ya kiswahili sasa inakamata kasi ya ajabu katika nyakati hizi Afrika na dunia kwa ujumla, wakati juzi ndani ya mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki na wageni mbalimbali kutoka nchi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye notes za L1 advance tuwasiliane 0767578628
2 Reactions
0 Replies
593 Views
Kuna Haya maneno, naweza nikasema hayajawa professional kichwani mwangu maana nashindwa kuyaelewa na ni sehemu ipi sahihi katika sentensi yanafaa kukaa/kuyatumia.. As well as & As long...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi naombeni kujuzwa na wale wataalam wa lugha hasa kimarekani hivi neno "https://jamii.app/JFUserGuide" linamaana gani ??, Je ni wakati upi yaani muktadha ili neno hutumika maana naona vijana wengi hutumia...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuna haja ya kujulishana misamiati mipya ya lugha yetu adhimu. Kila siku lugha yetu inakua na misamiati inaongezeka kila siku. Hapa kuna baadhi ya misamiati, pia naomba ndugu zangu muongezee...
7 Reactions
125 Replies
107K Views
Great thinkers, tafadhali naomba kujuzwa; NJUGU MAWE kingereza zinaitwaje? Asante.
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Kubugi maanake nini? Mfano, fulani amebugi kwenye swala fulani.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za asubuhi ndugu wa JF. Kimsingi baada ya muda mrefu kupita bila kuzamia katika mtandao wa kijamii wa Facebook /uso wa kitabu nadhani ndio sababu iliyonifanya nishangae kuona hii misamiati...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
BONOKO. 1.Katikiro najituma,kuleta huu ujumbe Waziwazi nausema,sitoogopa wapambe Nanena huku nahema,roho inadunda kumbe Kileta kindumbwendumbwe,utawekewa bonoko. 2.funga domo...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
KATIKA KUTEKELEZA SERA YA ELIMU BURE KWA WOTE:JIFUNZE ENGLISH Kama inavyojulikana kuwa English ndio lugha kuu wa mawasiliano duniani hivyo pasipokujua English itakufanya ushindwe kuingia katika...
27 Reactions
155 Replies
36K Views
Sijui kuna nini kilichofichwa kwenye hii lugha ya kimalkia (English). lugha zote duniani mswahili anaweza kuongea paspo wasiwasi nikamsikiliza vizuri lakini si kiingereza! Yaani mswahili punde...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
NISIKILIZE NYERERE. 1.Huku tunadanganyana,ya kwamba tunakuenzi Na mbali wameikana,wajali kiti cha enzi Tasema tena na tena,Hata kama kwa utenzi Nisikilize Nyerere,kwa hili hauenziwi...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
JE!HUENDA MRISHO MPOTO (MJOMBA)ANAUSHANGILIA UTAWALA WA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWA WIMBO WAKE MPYA WA "NIMWAGE RADHI"?. Hivi karibuni Mwanamuziki Mrisho Mpoto(Mjomba)ametoa wimbo wake mpya...
2 Reactions
10 Replies
8K Views
ZIMWI LA DAR! Kwanza naanza kwa dua, Yarabi nisimamie, Moyo nakuinulia, roho wako nivuvie Hekima busara pia, nazo unikirimie Pamwe na Watanzania, yao nchi watetee Zimwi limeteka Dar, limejivika...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Neno la Mungu linasema katika Yoshua 1:5 Hapatakuwa na mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nakutana na sentensi hizi kwenye uandishi wa watu na huwa zinanipa wakati mgumu kujua kama ni sahihi pale mwandishi anapotaka kuelezea wingi wa MPANGO MKAKATI. -MIPANGO MIKAKATI -MIPANGO...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Nombeni msaada wa tafasari ya neno (hostel ) msaada wenu maana Kuna lisiti nalipishwa sielewi wastani nimechoka?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
1.Kunavyo vingi vizuri Vizuri vino pendeza Vyang'ara nakuvutia 2.Vipo kwenye jiji zuri Lilojawa na mwangaza Kama utaliingia. 3.Taona mengi mazuri Ambayo yanashangaza Miguu ukiitia. 4.Utapofika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…