1)Namanga hadi Holili,tunarejea nyumbani
Twarudi na zetu hali,na furaha vifuani
Safari yetu ya ghali,ila bado na imani
Tutaporudi nyumbani,tutakutana na Melo.
2)Tutapeana mikono,na kukumbuka...
Cool fact About English Language
1.No word in the English language rhymes with month, orange, silver, or purple.
2. The "sixth sick sheik's sixth sheep's sick" is said to be the
toughest tongue...
Jamani,kama kuna mwana jamii anajua tofauti ya maneno haya: FEDHA,HELA na PESA, tusaidiane.
Cc Kiranga FaizaFoxy Madame B.
===========
Huitwa ‘Fedha’ wakati mwingine huitwa ‘Pesa’ na wengine...
Shairi langu natunga, kuwapa pole raia,
Na nyinyi tunajiunga, sote huku tunalia,
Kukumbwa na hili janga, pole kwa zao familia,
Poleni wa Tanzania, ajali haina kinga.
Ajali haina kinga, poleni wa...
Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni...
Mzuqa
Nimeshikwa na kichomi hapa mzigoni yani kimenikalisha. Msaada kwa kiingereza kinaitwaje?
Nimecheki kwenye google translate eti cinnamon wakati cinammon ni ile aina ya spices. Google...
Nimejaribu kutafsiri kwenye google langunge tool imeleta kiswahili hiki nimecheka sana...
When I stepped into the house I saw this very very beautiful girl with a wonderful smile I never stop...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa utaraibu wa kuomba nje (kuapply) vilevile mambo ya...
So far watu kumi wameshachangia...
So far tupo wanachama 20....
Of course nimepitishia bandari ya mombasa...why not Bwana. .
Hahaha worry not ntaclear hii balance...
Check na mtu wa jikoni...
Haya maneno yana maana gani kwa jinsi yalivyotumika kwenye hizi methali?
1. Kisokula, sera, nale => (Kisokula mlimwengu,sera nale)
2. Konzo => (Konzo ya maji haifumbatiki)
3. Lila, fila => (Lila...
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha...
Hotuba yake ya Mwanza, ya Raisi Magufuli,
Ndege ameleta kwanza, sasa ataleta meli,
Hakujali kila kinza, Raisi katawakali,
Kwanza ndege sasa meli, Raisi twampongeza.
Raisi twampongeza, daima...
Asalaam wakuu
Kumekuwa na mitazamo mingi na ukinzani wa fikra juu ya neno muda. Hadi sasa hakuna tafsiri wala maana moja inayoelezea neno muda ambayo imekubalika kwa wanazuoni wote.
Baadhi...
Habari wenzangu,
Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo:
(1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine...