Is it correct to wite Tanzania electric campany or Tanzania electricity campany? Mi nafikiri inapapaswa kuwa Tanzania electricity campany! Nyie mnaonaje
Habari za asubuhi wana JF?
Kumekuwa na tatizo la kiuandishi kwa watu wengi kuanzia humu JF mpaka kwingineko kote kwenye mitandao ya kijamii mwanzo nilidhani ni kujisahau lakini sasa naona kama...
Habari zenu? Kwa anaejua liwa ni nini anisaidie kunifumbua macho, Inatokana na nini? Kwa lugha ya malkia inaitwaje? Nimeshindwa kupata majibu kutoka kwa wanaonizunguka nikakumbuka JF ni kiboko...
1)I........my notes already. a)have wrote b)writting c)writes d) written e)have written [ ].
2). Amina and ashura ......chasing the rate. a)is b)am c) being d) were e) been [ ]
If you have...
Kibanda-umiza ni neno la kiswahili lenye maana ya maeneo ambayo watu hukusanyika na kulipia huduma ya kuangalia michezo mbalimbali kama mpira wa miguu kwa njia ya televisheni. Naomba kujua kwanini...
Nyingine zinahitaji ujuzi, elimu na tajriba ya kiwango cha juu ukilinganisha na nyingine.
Mifano
1. Mhasibu: Mtaalamu wa kuweka hesabu ya fedha.
2. Mhandisi/injinia: Mjuzi wa kutengeneza...
KUMRADHI KWENYE HEADING NAMAANISHA VIDEO CONVERTER. Naomba maujuzi kidogo, nime download video kwenye mp4 haicheki katika simu ya android hivyo nahitaji kuibadilisha ili iweze kuchezwa. Naweza...
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app