1)Mamkuzi na salamua,juu yenu iwe amani
Salamu kwetu muhimu,tena jambo la imani
Kusalimu yalazimu,ni kale tangu zamani
Mei mosi na ujumbe,natamani kuutoa
2)Heko kwa wafanyakazi,walioko makazini...
1.Nini asili ya neno ''KISWAHILI'' nimegoogle zijaipata
2.Ni ipi maana sahihi ya push-up kwa kiswahili,ukiachilia mbali ''kushinikiza?
3.Kuruka ki-chura chura,nashauri ibadilishwe tuwe na neno...
1)Ashakumu si matusi,huu sasa ni ujinga
Acha Leo niwatusi,sindano nitawadunga
Mnazo roho za fisi,mnakua kama wanga
Huu sasa ni ujing,washairi nawambia.
2)Kila siku kulumbana,huo nao upumbavu...
Habari zenu wana jamvi naomba msaada kwa anaeweza kunipa njia za kujua vizuri kiingereza kwa njia za kusoma online .Muhimu nahitaji sana kujua kiingereza kusoma, kuongea na kuandika..asanteni
Habari Jf
Natafuta mwandishi mzuri wa motivational letter na essay, nampa hints anaandika, uwe unajua lugha ya kingereza vizuri na uwe mzoefu.
Karibu Pm
Inasemekana kwamba, vyombo vya habari vya Tanzania vinafanya makosa ya matamshi, maandishi na maana katika maneno, istilahi na sentensi za kiswahili sanufi.
Kutokana uvumi huo, makala hii imeona...
1.Kiburi si muungwana,kukaidi ya mabwana!
unduli si karama,kuutupa ushauri mwanana,
sifuri si kazi sana,kuipata huitaji chutama!.
Moyo umeniweza!
2.nisemayo yaakili,nitendayo sifikiri!
umeitia...
Wapo wanaoamini eti kuna maneno au vitu vya kitaalamu ambavyo kwa kiswahili havina maana.
kwanza hao ni wale wavivu sana wa kufikiri,kujifunza na kuwaza.
jiulize je 'television' ilikuwepo kabla ya...
ABUNWASI NA NCHI YA KUSADIKIKA
Abunwasi anaaminika na wafuasi wake ni "msomi bora kabisa kuliko wasomi wengine katika fani ile" ila hajajitambua kwamba sheria ni ile ile katika nchi ya...
NAKUJA KUOA KENYA
1)Acha niseme ukweli,nitue huu mzigo
Naende kuoa mbali,huku nakupa kidogo
Nawabwaga chini chalk,nashusha yangu mapigo
Nakuja kuoa Kenya,wabongo wamenishinda.
2)Huku wengi omba...
“English not Swahili”: The ill-placed call from a US senator on rewriting Facebook’s user terms
By Abdi Latif Dahir
April 12, 2018
Under scrutiny.
For two days, Facebook’s chief executive...