Sina tatizo na mada ya ndugu mmoja aliyoileta humu hapa leo akitumia maneno hayo hapo juu. Ila naomba nitumie nafasi hii kuuliza kuwa haya matumizi ya maneno au usemi wa "kupata matokeo" pasipo...
NDAMA ni mtoto wa ng'ombe.
pindi inapotokea "NDAMA akawa mkubwa halafu akawa na mama yake, "JE NG'OMBE HIYO ATAITWA NDAMA AU MTOTO WA NG'OMBE '
Chukulia mfano, "wewe umezaliwa,mama yako akawa mama...
NDAMA ni mtoto wa ng'ombe.
pindi inapotokea "NDAMA akawa mkubwa halafu akawa na mama yake, "JE NG'OMBE HIYO ATAITWA NDAMA AU MTOTO WA NG'OMBE '
Chukulia mfano, "wewe umezaliwa,mama yako akawa mama...
Nimejaribu sana kutafakari lakini nakosa majibu ni kwanini Tanzania na si Kenya ama kwingine ?
kiswahili kwa asilimia mia moja kinazungumzwa sana nchini Tanzania tena kwa ufasaha na urahisi ambao...
Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk
Karibuni
Habari wana na binti wa Mungu.
Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani?
Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah...
Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanaje anaandika hivi:
Neno Hakuna anaandika akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada...
Salama wakuu.
Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni.
Huwa sijui...
Habari za Muda huu;
Kuna maneno mengine ni marefu sana kiasi kwamba hata utamkaji wake ni shida kwa baadhi ya watu
Mfano mimi neno limenisumbuaga sana kwa urefu wake ni
Australopithecus
Andika...