Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF, Mimi kijana wenu nimegundua kuwa kabila letu Wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini. Ningependa tufahamiane humu vizuri.
1 Reactions
134 Replies
18K Views
...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kispania au "nyola" kama waitavyo vijana wa Arusha ni lugha ambayo mara nyingi husomwa kama ilivyo. tuanze na salamu. >>HOLA-hi >>HOLA MI AMIGO-hi my friend(wakiume) >>HOLA MI AMIGA-hi my friend...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
1:Gari yangu,gari langu 2:Mjomba yangu, mjomba wangu
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada tafadhali kwa anayefahamu sababu za KUTUMIWA KWA VIMAANILIZI VYA MAANA na imuhimu wake anisaidie kwa wale waliobahatika kusoma kiswahili chuo kikuu Ahsanteni sana!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani naweza kuunganisha vyeti kwenda ualimu ambavyo nimerisit nina vyeti vitatu ila nikiunganisha nakuwa na three ya 25
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Hivi muzungu anakufa USA au sijui Iceland halafu tunaandika tanzia, hivi ni sawa kweli? Mimi kwangu haiji, naona kama tanzia inafaa mtu wetu wa karibu hapa nyumbani TZ lkn siyo mtu aliyekufa...
0 Reactions
7 Replies
42K Views
Tanzania si ya Nyerere, Ujamaa hadi ruhusa, SabaSaba ni NaneNane, Mkulima hana sauti, Mfanyabiashara ana sauti, Viongozi hamna leo, Mwanasiasa ndio viongozi. Tanzania si ya Nyerere, Zuia gazeti...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Pichani ni wanachama na wapenzi wa kundi la Arusha Poetry Club. Kundi kuwa la wafia nchi walijikusanya katika uwanja wa vita kwa ajili ya kuanza vita vikali vya mashariki ya kati. Vita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dhana ya kisheria ya kujiuzulu ni kukaa pembeni – huwezi kujiuzulu nafasi fulani halafu unarudi kuigombea nafasi hiyo hiyo – hii ni aina mpya ya ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambao...
3 Reactions
4 Replies
6K Views
1. PM 2. Lumumba buku saba 3. Nyumbu 4. Papuchi 5. Amekula ban 6. Wasengerema 7. Invisible 8. Mods 9. Povu 10. Mkuu 11. Wananzengoo 12. Uzi au thread 13. Maku 14. Mkuyenge 15. Mpopoma 16. Ngoja...
6 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA Nawasilisha
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kuuliza anayefahama ubora Wa hii taasis ni kwel wanafundisha kwa ubora
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kuuliza sehem IP wanatoa kozi ya kujifunza kiingereza kwa ufanisi mkubwa
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wakati fulani nilimsikia kijana mmoja akimsalimu mzee wa makamo kwa kumwambia "Heshima zako mzee" Nilifikiri huyo kijana hakuwa mtanzania kwa sababu huku tanzania tunajua namna ya kumsalimu...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Salamu wana JF, Naomba mwenye nakala rojo (soft copy) ya Kamusi ya Kiswahili kwa Kiswahili anirushie tafadhal. Akhsante.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
....jamani kile kiswahili cha kwenye kamusi mnakionaje?.....au kile cha kwenye simu za kichina....ni balaa,mi najua kuna sharubati yaani juis we unajua nin.....funguka hapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tofauti ya stahiki na stahili ni nini ama ni visawe na ni tofauti kwa sarufi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua wingi wa neno kinyonga kwa ufafanuzi zaidi
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wanapjua kipare naomba msaada wenu kuna vitu nahitaji kutafasiliwa
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…