Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Nisaidie jinsi ya kupika hivi vitu kwenye jiko la gesi Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu. nb wale ambao kwa bahati...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Mimi binafsi napendelea ugali na nyama choma😂😂 Ni tamu balaa wewe je?
2 Reactions
101 Replies
6K Views
Nilikuwa napenda sana kula maini ya wanyama wote wanaoliwa . Yote yawe ya kuchemsha, kurosti au kuchoma. Daktari mmoja alinikuta nakula akanishauri niache kabisa mazoea haya. Aliniambia kuwa "...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
MAHITAJI 1.Viazi mbatata kilo moja 2.Nyama ya ng'ombe kilo moja 3.Nyanya maji kubwa nane 4.Tomato paste vijiko viwili vya chakula 5.Vitunguu maji viwili 6.Karoti kubwa moja 7.Kitunguu saum...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto...
11 Reactions
151 Replies
27K Views
Wakuu naomba kuelekezwa namna yakutengeneza sharubati ya mboga za majani bila kuweka maji na je kuna mashine maalum ya kukamua mboga mboga kuwa sharubati? Sent from my Infinix X656 using...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa kuchanganya cocktail maana nilikunywa mahali aisee ilikuwa poa sana sasa natamani na mimi niweze kuiandaa ila sijui michanganuo nini na nini naombeni misaada kwa ninyi...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa tunaandamwa sana na thread za kutishia afya zetu kisa kula nyama yetu pendwa, mimi kama mdau nashauri tuwapuuze tu na zaidi tufahamishane maeneo inapopatikana kirahisi popote...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Mahitaji: Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu. Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa. Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
JF ndio kisima cha maarifa. Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2. Tatizo unga umetoka na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Namna ya kuandaa kitafunwa hiki aina ya kachori Mahitaji Viazi 10 Chumvi kiasi Masala Unga wa dengu 1 cup Ndimu 3[h=3]Mataarisho Namna ya kuandaa/ Kupika Chemsha viazi na maganda yake...
3 Reactions
157 Replies
77K Views
Wakuu naishi Dar nataka kununua gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwaajili ya kupikia. Je? Ni gesi aina gani ni nzuri hapa na maana ni kampuni gani hutoa Huduma ya uhakika. Kati ya ORXY lake...
0 Reactions
353 Replies
78K Views
Mahitaji 1) Nyama ya kusaga robo 2) Viazi mbatata kg 1 3) Karoti 1 kubwa 4) Pilipili hoho 1 5) Ndimu/limao 2 6) Pilipili manga ya unga 1 tea spoon. 7) Uzile wa unga 1 tea spoon 8) Kitunguu thomu...
6 Reactions
21 Replies
12K Views
Wakuu naombeni mnifundishe formula ya kupika ugali ,maana kila nikipika unakuwa mbichi vipimo vikoje ratio ya unga na maji mda wa kusubiri kwenye kila stage NITASHUKURU
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau Hamjamboni nyote? Nimeambatanisha kanuni husika. Karibuni tujadili KITCHEN TIPS From Africa 1. Never store Onions and Potatoes together because both produce a gas that causes either of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumaini mko poa? Natamani kujua jinsi ya kutengeneza tomato paste mwenyew ambayo inaweza kukaa hata wiki bila kuharibika
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Hongereni sana kwa hiki kipindi Waandaaji na Washiriki.. Mi nimekipenda Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu. ... Maoni; 1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi Ili Maybe kila chef...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahitaji -Mchele -Karoti -Hoho -Iliki -Njegere -Kitunguu saumu -Tangawizi -Nazi ya kukuna ni nzuri zaidi -Chumvi -Kuna nazi yako vizuri uikamue na uichuje kidog kidogo kiasi cha maji...
10 Reactions
90 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…