Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku! Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya...
0 Reactions
9 Replies
701 Views
Moja kwa moja kuokoa muda.. Mimi sio mpenzi wa kutumia majani ya chai ya dukani mara nyingi napenda kutumia chai ya mchaichai,baada ya kupitia nyuzi mbalimbali humu zinazohusu mti wa mlonge na...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna huu unaitwa mlenda wa kienyeji. Watu wanatumia majani na wengine maua ya kukaushwa. Hivi hii mboga ina virutubisho vyovyote?
5 Reactions
87 Replies
13K Views
Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Ni chakula kitam sana ..nataman kukipata. Nimehangaika kila pahala kuomba ..! Wajuzi naomben kufahamishwa wap naweza kupata Tako..kwa hapa tz
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi? Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika. Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine. Katika chakula nisichokipenda zaidi...
20 Reactions
256 Replies
27K Views
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787] Kitimoto ni dhambi[emoji1787] Nguruwe ni haramu[emoji1787] Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787] Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23] Nireteeni mbusi...
26 Reactions
67 Replies
14K Views
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikijiaminisha kuwa napenda sana machungwa. Nimekuwa nikiwaambia watu napenda sana machungwa. Msimu wa machungwa ukifika huwa ni kawaida kwangu kununua machunga...
3 Reactions
4 Replies
732 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake. Mtu mwingine anatamani kula kitu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow swahibaz! Mwenzenu nina tatizo la kukadiria chumvi na maji katika mapishi ya ubwabwa. Mi binafsi huwa sipendi chumvi nyingi, hali ambayo imefanya niwe mkini mno katika uwekaji kiasi ya...
1 Reactions
12 Replies
21K Views
Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
3 Reactions
71 Replies
13K Views
Habarini Leo nataka kupika ugali mlisema unatiwa blubend na Nini? Naomba mnikumbushe. Nawasilisha. ===== Picha ya ugali kutoka maktaba Soma maoni zaidi kuhusu kupika ugali: Jinsi ya kupika...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nahitaj kupika pilau nyama ya kuku ya kukaanga na mchuzi, njegere, viazi Naweza changanya pilau njegere na kuku viazi kwa pamoja. Na mahitaj yake ni yapi
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari zenu. Kuna siku nilienda sokoni kununua bidhaa fulani nikakutana na ndugu yangu anauza viungo vya chakula. Kwakuwa tayari nilikuwa nimemaliza mahitaji niliamua kununua tu chochote kwakwe...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza. Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia. naombeni maelekezo tafadhali
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za muda huu! Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika. Maana...
2 Reactions
9 Replies
8K Views
Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu habari za mchana, Nadhani tunajua watu wengi sikuhizi wamekuwa wakijali sana afya zao na wamekuwa wakitafuta namna ya kutengeneza au kula zaidi vyakula vya asili kuliko vya kwenye makopo...
2 Reactions
40 Replies
33K Views
Kwa mahitaji ya chakula na salad safi kwenye, harusi kichen part, send off,mikutano, bathday pamoja na misiba
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…