MAHITAJI
Unga wa ngano nusu kilo
Mayai 2
Sukari robo kikombe cha chai
Chumvi kijiko kimoja cha chai
Hiliki nusu kijiko cha chai
Maji ya uvuguvugu kiasi
Mafuta ya kupikia
MATAYARISHO NA...
Habari wana jukwaa.
Najitokeza kwenu kuomba mafunzo ya upishi wa kisamvu.
Nimekula kisamvu kwenye sherehe kitamu sana
Nifunzeni nipate kukipika mwenyewe nyumbani.
Asanteni
Recipe ya mama yangu...
Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?
Asanteni
Habari, leo nimewiwa kutaka kujua milo ya watu humu hasa mchana huu. Ni vizuri kwani tunashirikiana uzoefu na kujuzana habari mbali mbali kuhusu vyakula.
Binafsi ndiyo nipo sokoni muda huu...
Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu.
Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya...
Utengenezaji wa jamu si mgumu sana kama ambavyo wengi hudhani. Unaweza kutengeneza jamu kwa kutumia vifaa ulivyonavyo jikoni kwako.
Jamu ya machungwa ama ‘orange marmalade’ ni moja ya jamu zenye...
Habari za muda huu
Kama kichwa kinavyosema.
Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani?
Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku...
Jinsi nilivyokuwa napika kitimoto na ndizi. Kwanza mfahamu kuwa nilikuwa napika chakula kingi, siyo kama kile cha kwenye video.
Mahitaji.
Kitimoto kilo moja.
Ndizi mzuzu kumi, napendelea zile...
Wadau naomba kujua KITAALAMU na AFYA ni mchanganyiko upi ni SAIHI kwenye kuchanganya nafaka zetu na kipimo mfano mahindi, mtama, ulezi, muhogo.
Natumiaga hivyo vyote ila nakutana na shauri...
Mahitaji:-
Unga kilo 2
Mayai 2
Sukari 5½ Kijiko cha chakula
Blue Band 2½ Kijiko cha chakula
chumvi 1 kijiko cha chakula
Vanila 2 vifuniko
B/powder 2½ tspn
Amira 3½ Kijiko cha chakula
Naombeni...
Nimejaribu kutafuta tofauti ya Nyama ya Punda na Ng'ombe sijaweza kutofautisha.
Kilichofanya hadi nianze kutafuta tofauti ni namna ambavyo nimekuwa najisikia siku hizi baada ya kula hii nyama...
Zamani nilikuwa nakula kitimoto inanukia Sana enzo hizi tunadrop toka Minaki to Pugu kajiungeni vasco dagama kulikuwa na kitimoto swafi.
Sana now dayz nakula nabadilisha viwanja lakin sioni...
Mimi ni mpenzi wa ugali dona mix ya Mahindi, ngano, mtama/ulezi mweupe. Ningependa kujua namna bora ya kuupika ukakujulisha kuwa umeiva.
Hata kama kuna mix iliyo bora zaidi, nijulishwe.
Picha...
Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata...
Kwanza Kabisa Kabisa nitangulize Shukrani nzito kwenu Wakuu
Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia hivi sasa kutokana na Mafuta kuwa madogo kulingana na Uhitaji wa raia hali hii imezua...