Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto.
Tuelekezane mapishi...
Karibu tujifunze lishe Bora zenye Kinga mwilini
1: Kuna lishe ya protini
Hii lishe usaifia nu lishe inayoitajika mwilini kwa Kasi kubwa kwani husaidia kukuza Mwili, pia huzuia magonjwa Kama...
Leo hii tujifunze jinsi ya kupika tambi za mapapayu,usishangae ni katika ubunifu wa mapishi
MAHITAJI
Tambi za mapapayu (papayu lilokatwa maganda na kukatwa kwa urefu kama tambi) kiasi bakuli...
Habari za Usiku wakuu.
Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi...
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu.
Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na...
Mungu ni mwema kwa wote.
Najiuliza unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siwezi kukila yaani kinanikinai mapema.
Nyie kwenu vipi mnatumia mbinu...
Ukiachana na wale wenzetu ambao wamesomea elimu ya kupika Vyakula mbali mbali, kuna sisi wapenda kula lakini kupika mtihani.
Leo nimejiskia kupika firigisi na ugali. Sema hapa kwenye firigisi...
Ni ya vanilla na maziwa nimeipika kwa gesi tu.
Nimetumia
Unga:250g
Sukari (icing suga):200g
Mayai:5
Maziwa:vijiko vitatu vya chai
Vanilla:kifuniko kimoja
Butter:250g
Baking powder:2teaspoon...
Wadau habari zenu
Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .
Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza...
Wakulungwa!
Hii huwa sielewi, kuna chemistry gani kati ya bia na bisi, ?
Maana huwa nikifika tu bar, utakuta mdada mrembo,ananiletea bisi, baada ya kuagiza vyombo.
Au ndio yale yale, siku hiz...
Unapaswa kuvijua ili upunguze matumizi yake kila siku kwa kuepuka kwa kinga zako kudhofika na kupungua, kuongeza sumu kwenye mwili na kinga zako, kudhofisha viungo mbalimbali na kupelekea saratani...
,.........habarini wana jf......
Kila mmoja anajua kuchemsha chai ila ni wachache wanajua kupika chai
[emoji626] Chai n pishi kama pishi nyingine ,,,lakini tunavyoliandaa wengi wetu hukosea...
Habari zenu wote natumai mu wazima
Mimi nimuajiriwa ila nahitaji kipato cha ziada mara kwa mara nimekuwa nikijaribu kutengeneza ubuyu lakini umekuwa hautokei kama unavyo paswa sasa nashindwa...
Tunavyokula kuna athiri jinsi tunavyojisikia. Inatakiwa unapokula uwe unajisikia vizuri. Kuna wengine wakila wanajisikia tofauti. Ukila sana au kidogo vyote vinaweza kukufanya kusikia vibaya ...
Hawali ya yote naomba radhi kwa kuandika Vyakula ivi kwa lugha ya kingereza
MTOTO MDOGO anatakiwa ale mlo kamili yaani appetizer,main meal,pamoja na desert na Vyakula hizo zinatakiwa ziwe na lishe...
Wakuu,
Kuna mtu amewahi kujaribu kuunga karanga kwa kitunguu na nazi kama unavyounga maharage akaona inakuaje ukila na wali?
Naona kama karanga ni laini na tamu kuliko maharage, njegere...