Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua..
Ndani Nina
Mayai
Viazi mviringo.
Unga wa mahindi
Mchele
Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana..
Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile...
Kwa utafiti wangu wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika au mapishi kwa ujumla wake.
Wanawake wengi wa siku hizi wanaamini viungo vingi kwenye mboga ndio mapishi mazuri.
Mbona inawekewa...
Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa...
Wanabodi, poleni na majukumu ya maisha!
Wewe unapenda nyama ipi kati ya kuku, ng'ombe, mbuzi na kitimoto ipi ni nyama pendwa sana kwako na huko duniani ulikopita pita?
Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta...
Umechoka kunywa chai na vitafunwa vya aina moja kila siku leo pika vitumbua venye radha tofauti ufaidi chai yako ya asubuhi:
Mda dakika 50
Vipimo
Unga - 2 gilasi(wa mchele)
Mayai - 4
Hamira -...
Mahitaji: Mayai, wali, sukari.
Jinsi ya kuandaa:
Chemsha wali wako kama kawaida au hata kama unakiporo kitafaa,
Tia wali wako kwenye bakuli kubwa ambalo utachanganyia,
Kisha piga mayai wa 2_3 au...
Mahitaji
Kwa ajili ya supu
Viazi 4 vikubwa katakata round
Nyanya 2 kubwa katakata
Kitunguu maji 1 kikubwa
Kitunguu saumu 1 tablespoon...
Tangawizi 1 tablespoon..
Bizar ya pilau 1/2 teaspoo...
Jamani mwenzenu nina jiko nimenunua la kuchomea nyama, lakini kila nikichoma mishkaki haina ladha na ni migumu,wenye utaalam juu ya hili nisaidieni please.
Habarini... naomba kufahamu jinsi ya kutengeza yorghut kwa yeyote mwenye uzoefu nayo....asante.
------
Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi?
Kama ndio basi fanya hivi...
Andaa...
Mahitaji (Kutumiwa na watu wa 4)
・Mapaja 2 ya kuku (gramu 500)
・1/2 kijiko kidogo cha chumvi (gramu 2.5)
・Pilipili manga kwa ajili ya kutia ladha
・Vijiko vikubwa 2 vya sosi ya soya (mililita 30)...
Mahitaji:
Vitunguu swaumu kadri uwezavyo
Tangawizi kadri uwezavyo
Asali mbichi kwa ajili ya ladha.
Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi...
Mwili wa binadamu huzalisha sumu kulingana vyakula tunavyokula hii ni njia moja wapo kuondosha sumu kwa haraka sana.
MAHITAJI
Majani ya Kale (kale leaves) - 3
Brokoli pamoja na miche yake - ½...
Habari Tanzania !
Sasa ile vita ya mfugaji na mkulima mwisho kabisa. Sitegemei kuona tena vita hii hapa Tanzania.
Mahitaji
a) Karanga mbichi kikombe 1 na 1/2.
b) Sufuria na chujio kubwa
c) Jiko...
Habari wana JF,
Hapa nilipo kuna kibaridiii... Nimejipongeza kwa kunywa chai ya maziwa ya viungo. Nimeona sio mbaya nikishare hii ladha ambayo naona ni nzuri sana hasa pale ukiipatia.
Kuna...
Habari wapendwa,ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema.Leo nataka niwaelekeze kupika mboga ya majani ya maboga kiurahisi na matamu sana,japo najua kila MTU ana style yake ya kuyapika...