Watu wa pwani hii kitu tunapendaga sana mapishi pia hutofautiana leo nenda fresh food nunua pweza alafu pika kama hivi hutojutia..
MAHITAJI
Pweza - 1 Kilo
Mafuta - ½ kikombe
Chumvi - 1 kijiko...
Hiki ni chakula cha asili ambacho kinaliwa kwenye jamii zetu..
Mahitaji
•Unga wa muhogo.
Jinsi ya kupika.
•Bandika sufuria yenye maji jikoni(kulingana na maitaji)
•Subiri mpaka maji yawe...
Jamani kuna hivi vitu vinafanana na sukari ni nyeupe sanaa. Nimeshaona aina tatu sasa tofauti ni ladha zake..
Ya kwanza ina ladha ya utamu kama sukari na ninaambiwa inatumika kwenye juice au...
Wadau wengine ambao wanahitaji kujua kuhusu matumizi ya rice cooker
Natumai wazima ndugu zangu,naomba mnielekeze namna ya kutumia rice coocker.
----
Hivi pilau waweza pika kwenye rice cooker...
Habari zenu.
Unaweza kupika chakula kizuri tu na kuzingatia kila hatua ila kisiwe na ladha tamu zaidi au kiwe kimepooza.
Tumia pilipili manga iliotwanga dakika 10 kabla ya kuepua chakula chako...
Mimi binafsi naona mapishi ya aina hiyo hayafai kwakuwa radha ya Tangawizi si nzuri kwa vyakula ila vinywaji mara mia nitumie kitunguu swaumu kwenye mapishi ya mboga.
Vipi wadau wa Chefs...
Mimi napenda sana nyama hasa iwe ya ng'ombe, mbuzi kuku, samaki, kima. Ilimradi nyama tu iwe tamu na siwezi kuichoka.
Mfano nyama ya ng'ombe nitakunywa supu asubuhi mchana na ugali au wali na...
Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike...
Mambo zenu wakuu leo nitafundisha jinsi ya kupika ugali.
Fuata Steps Hizi
MAHITAJI
Maji,unga wa sembe/Dona + Sufuria,Ubanio,Mwiko na jiko la aina yoyote mkaa au umeme au gesi..
Step 1
Sikia...
Mimi sio mpenzi wa mayai au ndege aitwaye kuku kabisa. Lakini nimekuja kugundua chakula chochote kukipenda au kutokukipenda inategemea na kilivyopikwa na kilivyotayarishwa.
Sipendi mayai yawe ya...
Naomben msaada sina friji, nataka niwe nahifandhi nyama ya kuku at least ifike siku nne mana niko peke angu siwez mmaliza wote, pia suala la bajeti.
Shukran
Miongoni mwa mboga za majani ninazopenda ni pamoja na tembele, leo ngoja niwashirikishe jinsi ya kuyapika matembele.
Pishi hili ni kwa wale wenye Maisha ya kawaida kabisa ambao tunapika bila...
Ni swali na wale wenye uelewa mpana naomba msaada. Nimejaribu kusoma various articles kuhusu hawa samaki wawili, Salmon anayepatikani baharini na Nile perch yupo ana high concentration ya Omega 3...
Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika.
Nikiwa nyumbani nimeamua kujipikia...
Habari wapendwa!
Hapa naomba ku sharevaina nyingine ya chakula cha ki- bachelor na cha fasta kidogo.
Naamini sio muda wote unakua na mood ya kupika ila unakuta una nenge/gwanda/njaa na...
JUISI YA NDIZI MBIVU
NDIZI ni zao linalotokana na mgomba, zao hili likiwa bichi hutumika kama chakula na likiwa limeiva (ndizi mbivu) hutumika kama tunda ambalo wakati mwingine hutumika...