Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habarini wana JamiiForums, Natumaini mu wazima rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa chuo ninaejihusisha na biashara ndogondogo kama kuuza karanga nyekundu ,visheti, kashata na...
0 Reactions
10 Replies
19K Views
MAHITAJI Unga wa ngano 1kg Maziwa ya nido vijiko viwili vya chakula Blue band vijiko viwili vya chakula Mafuta ya kupikia nusu lita Nazi moja pia unaweza tumia nazi ya pkt Chumvi kijiko kimoja...
9 Reactions
30 Replies
17K Views
Mimi msela bachela niko ndani njaa inaniuma na hakuna sehemu nzuri ya kula karibu na home.Ni nani anatoa huduma ya delivery ya chakula kizuri cha asili kama ugali, wali, ndizi, nyama ya ngombe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Upishi raha sana Sent using Jamii Forums mobile app
11 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari, leo tupike kidogo kababu za nyama ya mbuzi MAHITAJI • Nyama ya mbuzi nusu kilo • Dania 1iliokatwakatwa • Kitunguu saumu pamoja na tangawizi vijiko 2 vya chai • Garam masala(dawa ya...
7 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi. Wakati...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Mexican food Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Msaada wajameni kama zile zinakuwaga ndani ya kopo (zinauzwa supermarket) na mafuta kidogo na pilipli kwa mbali hivi! Mahitaji -5 maembe mabichi yalimenywa na kukatwa kwa...
0 Reactions
5 Replies
27K Views
Tropical smooth juice Mahitaji Nanasi 1 Ndizi mbivu 3 Machungwa 3 Jinsi ya kutengeneza Hatua 1 Menya nanasi lako baadae kata vipande vipande na weka kwenye chombo chako. Hatua 2 Kata ndizi yako...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie. Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu, Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa, 1: Maandalizi...
17 Reactions
308 Replies
31K Views
Jamani kuna siku nililalamika keki zangu zilipasuka ovyo ovyo nilivyozitia kwenye mafut! Nikapata ushaur nipunguze sukari na baking powder leo nimepika hizi maoni yenu tafadhali nirekebishe nini
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Hello JF Leo nimeona ni busara tukapeana mawazo kwenye eneo la vyakula sababu ni msingi wa maisha na nina imani kwa wale ambao hawakwenda shule au walienda lakini hawakubahatika kusoma sayansi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ugali wa nazi wapikwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Nimeona siku hizi hii kitu ikitrend, wauzaji wa vyakula hapa mjini wanauza chakula aina ya Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu. Je, ni nani alianzisha huu utaratibu? Kwanini Biriani haliuzwi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimepiga plan ya kusimplify mambo hapa mjini nikaamua kwamba! kila weekend especially Jumapili ni mwendo wa kande tu..kwanza na minimize cost. Nitanunua..Maharage nusu Njugu Nusu...
0 Reactions
386 Replies
96K Views
Kuna baadhi ya sufuria za kupikia hutoa kemikali wakati wa kupika chakula nakuchanganyika hivyo kupelekea madhara kama kansa kwa mlaji, wajuzi tuwekeni sawa kwenye hili.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LAMBA LAMBA ZA PARACHICHI NA MAZIWA : Mahitaji: Parachichi 1 kubwa kiasi 1/2 kikombe cha sukari Kopo 1 kubwa maziwa mepesi ya ( LUNA EVAPORATED MILK ) 1/2 kikombe maji Maelezo: Katika bakuli...
2 Reactions
29 Replies
13K Views
ORODHA YA JUICE MBALIMBALI (Kwa hisani ya mtandao). 1. Juice ya ukwaju mix na unga wa custard 2. Juice ya carrot na ndimu hii taste inakua kama fanta orange 3. Juice ukwaju tango na zile pipi...
6 Reactions
25 Replies
19K Views
Nahitaji kutengeneza fresh juice nataka kujua viungo vya kuweka hasa kwenye juice mix
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…