Nini maana ya neno makange? Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za Diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
Leo jikoni tunaandaa choroko za kupaaza, twende pamoja
Vipimo:
Choroko za kupaaza - 1 kikombe kikubwa (mug)
Kitunguu maji - 1 kimoja
Binzari ya manjano ya unga - 1/2 kijiko cha chai
Kitungu...
Kifaa hiki ni kawaida kukikuta kwenye majiko hasa ya wenye nazo. Jiwe hili licha ya kuwa ni urembo mzuri pia hudumu kwa miaka mingi.
Historia inatuonyesha walioanza kutumia jiwe kupondea viungo...
Assalam alayqum,
Jamani ni matumaini yangu mko salama. Naombeni kujuzwa/ kufahamishwa namna ya kuandaa mbegu za maboga zichanganywe kwenye uji wa mzazi. Nazifanyaje baada ya kuziosha?
Je...
Habari za wiki end wakuu.
Kama nitakuwa nimekosea katika kuziita 'kashata za ubuyu', basi naomba mnielewe nichomaanisha. Nasikia huwa zinatengenezwa kwa kutumia unga wa ubuyu, huwa watoto...
Mara nyingi watu hutumia siagi ya karanga (peanut butter) kwenye mkate au kama kionjo kwenye mboga ya majani.
Leo nitakufundisha kutumia siagi ya karanga ,matunda na mboga za majani kuandaa...
Katika siku za week naipenda sana Jumamosi. Hii huwa naitumia kufanya shopping ya Vegetables na Fruits pia kufanya mapishi au kuandaa juice/smoothie.
Jumamosi hii nlikuja na kitu kizito. Huu ni...
Habari zenu chefs,
Naomba kujua nifanyaje jiko la gas la plates lilikaa muda bila kutumika. Sasa zile switch za kuwashia hazizunguki hivyo siwezi kuwasha. Naomba kujua nifanyaje ili lizunguke...
Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu.
Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi...
Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu.
Vikitajwa kwa uchache virutubisho...
Hatua kwa hatua jinsi ya kupika mboga aina ya kabichi
Mahitaji
Kabichi 1/2 kilo
Nyanya ya kopo 1/2
Kitunguu 1
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Chumvi
Olive oil
Matayarisho
Kwanza kabisa...
Habarini wanajamvi. Nilikuwa nahitaji kufahamu kuwa kwa hapa Tanzania kuna aina gani za ugali zinapatikana hapa bongo na aina zipi kati ya hizo zinapendwa sana na watu!!
Binafsi nafamu ugali wa...
Habari zenu machef wa JF naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu. Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.
Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya...
Vipimo
Unga wa ngano mweupe ................... 1 Kilo
Samli .............................................. 150gm
Chumvi ............................................3 vya chai...
Leo nina ugeni wa member mmoja maarufu hapa CHIT-CHAT na MMU nimeamua kumtengenezea mbuzi katoliki(kavu) na mazaga mengine.
Maandalizi
>Nyama kg 2
>Ndizi mzuzu
>Mchicha
>Tangawizi ,kitunguu...