▶️DONDOO ZA JIKONI:-
1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi.
2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga ganda la limao bichi...
Kuna wajasiriamali Wengi Sana siku online wanatangaza kupika vyakula mbali mbali na kutangaza unaweza agiza chakula online ...kinakufikia...
Nna watu wengi waliowahi agiza vyakula kutoka...
Mara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so...
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio...
Mimi huwa napenda kupika, kujifunza na kujaribu Mapishi mbalimbali Nyumbani na Familia yangu hufurahia sana ninachokifanya mbali na Shughuli zangu zinazoniingizia Kipato.
kuna siku rafiki yangu...
Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi
MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima...
Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku...
Habari zenu wapishi.
Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
Leo nikaona vyema kuandaa chakula hiki chepesi sana kupika
Kwanza nilianza kumenya viazi kama unavyo ona
Niliacha vichuje maji vizuri baada ya kuosha then nika menya ndizi na kuweka kwenye...
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.
Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?
N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake...
Nawasilimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba kujuzwa unapotaka kupika nyama yako (mfano; ya ng'ombe au Kuku) ni viungo vipi ukichanganya wakati wa kuchemsha nyama hiyo itaifanya...
Nilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua
MAHITAJI;
Carry...
Wanaume sio sana, ila kwa utafiti wangu wanawake, Wanafunzi na watoto wadogo wa kike na wa kiume wanapenda chakula hiki kuliko kitu chochote.
Tena cha ajabu hata wakipikiwa nyumbani wanasema za...
Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya...
Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni.
Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya...