Mapishi ya mboga mchanganyiko
Pale unapokuwa na haraka ya kuandaa chakula kwa muda mfupi au umetoka kwenye mihangaiko na umechoka sana ni vizuri kuandaa chakula rahisi na ukafurahia na familia...
Ten foods you didn't know could be frozen: How avocados, coffee and eggs can last for six months (and taste as good as fresh)
Avocados, cheese and even leftover coffee and wine can also be frozen...
wapendwa nawasalim sana na hongereni kwa kulipamba jukwaa kwa mapishi mbalimbali.
Msaada ninaoomba kwenu ni kwa yeyote anayejua kupamba cake kwa fondant. nimeeanzisha kamradi ka kutengeneza...
Jinsi ya kupika pweza
Mahitaji
[*=left]70 gram kitunguu swaumu
[*=left]150 gram kitunguu maji kata kata
[*=left]150 gram karoti kata vipande vidogo
[*=left]1 pilipili ya kijani fresh a...
Somo langu la pili Leo ninamna ya kuunda chilli sauce kijana mama baba Dada acha kuzubaaa maisha yako yako mkononi mwako waweza badilisha maisha yako mwenyewe kwa kutumia mikono yako karibu...
JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA DENGU ZA NAZI NA VIAZI .
Vipimo:
1. Dengu zilopasuliwa 2 vikombe
2. Viazi 3
3. Kitunguu 1
4. Nyanya 1
5. Pilipili mbichi na thomu iliyosagwa 1 kijiko cha chai...
JF salaam!
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba mwenye maujuzi ya kupika crisps anisaidie napenda sana hii kitu nahitaji wife awe ananiandalia nyumbani badala ya kununua kila siku...
habari wanajf.mimi ninatatizo la unene .miaka yangu ni 40 na urefu kama fut 5.uzito km kilo 90.nilikwenda kwa doctor akaniambia nipunguze uzito .sasa sijui nile diet ngani ili nipugue ?naomba...
Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
Jamani kama hujawahi kufeel utamu wa Yesu ndo huu sasa nakuletea leo! Halelujah!!!
Recipe kutoka kwa mapacha wangu Tia Mowry - Wikipedia and Tamera Mowry - Wikipedia na madoido kidogo...
Wakuu habari za muda huu. Jana kuna mfanyakazi mwenzetu ni mwenyeji wa Bukoba alikuja na senene wamepikwa vizuri sana nadhani hakuwala akawa amempa mwenzetu. Sasa leo nikawa nimeziona nikasema...
Hello wana JF chef,
Ni mara yangu ya kwanza kupost humu. Ila si mbaya kama tukibadilishana ujuzi na maonjo kidogo kwenye afya na vyakula.
Mimi napenda juisi ya matunda yenye tangawizi kidogo pia...
Wapendwa tunawasalimu wote,
Mimi na mwenza wangu Evelyn Salt salt tunawakaribisha jikoni kwetu. Leo tutatengeneza 'ranger cookies' sijui kwa kiswahili tutaziitaje...biskuti za ???
Njia...
Nawaachia mapishi haya (nimedesea mahali) kwa weekend hii, hasa wale mabinti zangu, then feed me back.
NAMNA YA KUTENGENEZA MAANDAZI
MAHITAJI
1. Chukua Amira ya chenga gram 11,
2. Chumvi nusu...
mahitaji
Kunde mbichi vikombe vinne
Tui la nazi vikombe viwili
Vitunguuu maji viwili
Vitunguu saumu kijiko kimoja cha chai kilichosagwa
Nyanya ya kopo nusu kijiko nusu cha chai
Pilipili...