Habari wanajamvi!
Naombeni mnielekeze mapishi ya mihogo ilokauswa (makopa). Nakumbuka nilishawahi kula hiki chakula nikiwa mdogo ni kitamu sana na nitamani nipike tena.
Nitashukuru sana kwa...
Wakuu,
Nahitaji kununua hili jiko kwa aliyewahi tumia hili jiko.
Tathmini nzima ya uendeshaji.
Mafuta yao kwa mwezi ni Lita ngapi yanacost endapo kila siku mnapka Chakula cha wawili.
Any side...
HELOW Jf family..Hi!
-Anaejua jinsi ya kupika kisamvu kama wanachopikaga Wapopo mixing samaki nyama na mengineyo,please msaada.
-Pia anaejua kupika supu ya kipopo ile ya Mbuzi yenye ngozi...
Wakuu, pork ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana hapa Tanzania, lakini maandalizi yake yanawapa tabu watu wengi na hivyo kupelekea wengi kuifuata katika Bar au sehem zingine wanazochoma...
Habari wakuu.
Nataka nifanye ubunifu wa kutengeneza majiko ya plate na kukaangia chips ambayo yanabana matumizi. Lakini kabla ya hayo nataka nijue kati ya Gesi na Mkaa katika matumizi ni ipi...
Najua wengi tunapika na wengi tunajua kupika. Leo nimeona ni vema nikupe tip juu ya Tangawizi na Vitunguu Swaumu, kwani mbali na viungo hivi kuwa na virutubisho muhimu sana katika miili yetu pia...
Mahitaji
1)mchele kg 1
2)vitunguu maji 5 vikubwa
3)vitunguu thomu 2 ukubwa kiasi
4)nyama/kuku
5)tangawizi kiasi
6)chumvi kiasi
7)uzile wa unga
8)mafuta robo kikombe
9)zabibu kavu kiasi
Namna ya...
Habari zenu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa. Well, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa maandalizi na upishi juu ya hawa kuku kama wa ChickenKing au Marrybrown.
Hawa kuku sjui...
Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako
Mahitaji
Microwave safe bowl
Limau 1
Maji nusu kikombe
Kitambaa safi
Namna ya kusafisha
Weka maji katika bakuli na kamulia limau...
Mahitaji
1)sukari (granulated sugar) 1cup
2) mayai 4
3)maziwa kikombe 1
4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1
5)unga wa ngano 2 cups
6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla...
Za saa hizi,
Hamna ubuge ninaoupenda kama sukari guru,ulaini laini wake kama keki na sukari tu,taaaaamu! Kibaya huku kwetu zinapatikana kwa nadra sana kwa msimu.
Napenda kuzipika mwenyewe kila...
Msaaada wana JF.
Mimi ni mpishi mzuri tu wa cake.
Sasa next week nina birthday ya binamu yangu.
Nilitaka nimpikie cake mwenyewe bt niipeleke sehemu ikapambwe (kuchorwa).
Kwa wanaojua ni...
Nikiwa mjini Tanga STIMA ni chakula maarufu sana mjini hapo, ni tamu sana na watu wengi hulisifia sana, unapata STIMA ya kuku, mbuzi au ng'ombe.
Sasa mimi natamani sana kujua namna ta kulipika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.