Mama Mkwe wangu farkhina karibu namchumba wangu uje nae tupate kula vyakula tena hivyo karibuni wote. kaka BAK, mkuu kabanga mkuu TUKUTUKU bibie King'asti Mwalimu wangu gfsonwin rafiki kipenzi...
Mahitaji
1)Embe bichi kubwa 1 au ndogo ndogo 4
2)Chumvi 2 tablespoon
3)Pilipili ya unga 1 tablespoon
4)Mdalasini wa kijit- 1 kijiti
5)Karafuu 1 (sio lazma)
6)1/2 Kijiko cha chai cha uwatu...
Wachache sana wanajua namna ya kupika maini yaive vizuri, yawe matamu ndani ya muda mfupi. Fuata recipe hii then utaenjoy
Mahitaji:
1. Maini 1/2kg
2. Kitunguu kikubwa sana kimoja
3. Karoti kubwa...
Mahitaji:
Mchele ambao tayari umeshatolewa uchafu.
Maji masafi ya baridi.
Process;
Chukua mchele wako uliochambuliwa weka kwenye chombo chako chenye maji masafi, maji yanatakiwa yazidi kidogo...
Habarini wapendwa.Naomba mnisaidie vile ninaweza kuhifadhi vegetables kwenye friji zikae muda mrefu bila kuharibika wala kusinyaa.
Vitu kama hoho,carrots,zuchinni,nyanya huwa natumiwa sasa...
Habari wana jf,
Kama mnavyojua kesho sikukuu nataka nipike pilau. Nimenunua viungo ila sivijui vizuri. Pia naomba kujua kama pilau masala ya Zanzibar ni nzuri kwa pilau.
Jamani kama kawaida feedback ni muhimu. Nilisoma uzi juu ya maandazi ya hiriki humu basi leo nikaamua kufanya experiment. Nikanunua kila kitu huku hiriki kachupa bei mbaya sana.Hivi bongo kama...
Mahitaji: Viazi mviringo nusu kilo- vichemshe na maji mengi yenye chumvi bila kuvimenya
Maharage machanga nusu kilo- yachemshe na maji mengi pia yenye chumvi
Mwaga maji ya...
A salaam Aleykhum wanaJF wote.
Please, kwa mlioko katika jiji tajwa, ni mitaa gani, hotels or so tunapata chakula ya Kitanzania Original? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote.
:wave:
Kamarada.
Habari zenu wana jamvi,napenda tukumbushane kidogo juu ya usafi katika hili suala la mapishi. usafi huu ni wa pande 3.
1.Usafi wa mpishi.
2.Usafi wa pishi/mapishi yenyewe.
3.Usafi wa mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.