Jinsi ya kutengeneza fruit salad ya nanasi, machungwa na maembe
Mahitaji
4 vikombe vya mananasi yaliyomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo
2 machungwa yaliyomenywa na kukatwa vipande...
Mahitaji
Unga kg 1
Sukari kiasi
Hiliki
Baking powder 1tea spoon
Hamira 1table spoon
Tui la nazi au maziwa
Samli 3 table spoon
Siagi 3 table spoon
Yai 1
Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha...
One of the pleasures of travel is getting to sample the local cuisine.
But would you tuck in to a developing duck embryo straight from the egg in southeast Asia? Or sip fermented mare's milk in...
Habari ni ndugu,
Natafuta mwalimu wa kunifundisha upambaji wa keki ili nijiajiri.
NinaujuzI huo ila nahitaji kujua hiyo sana. Natak kujua sana na ntalipa kwa ajili ya hilo.
Nipo DSM please...
Wengi ni wapishi lakini theory ya upish huu hatujui, mimi nitaanza kutoa elimu basics za culinary arts. Leo ni hiyo juu
1. Herbs ni mimea iwe imekauka au mibichi jitumika kwenye vyakula kupika au...
Habari za leo wadau natafuta mwalimu wa kunifundisha kupika keki na kupamba tafadhali
email sharifadupont@yahoo.com kama yupo awasiliane nami kwenye email yangu
tafadhali kwa mawasiliano zaidi
Kuna watu hawapendi mboga hizo lakini ukizipika kwa karanga nina uhakika atazikubali.
Jinsi ya kuandaa;
1.Osha cabege yako kabla ya kukata hii inasaidia isiwe na maji mengi
2. Kata katika sles...
Hii ni 30 minutes or less breakfast, ila unaweza kula mda upendao au hata kuweka kwenye lunchbox ukabeba kazini.
Mahitaji( kwa ajili ya sandwich 4)
1)Slesi 4 za mkate
2)Majani ya kotmir...
Hivi kwa nini walaji wa haya matunda- matango, maembe mabichi na matango au kachumbari wanatumia sana chumvi? Kwa nini wasitumie sukari? Hivi vitu vina uhusiano gani na chumvi?
Jamani, wale...
Wana JF,
Mimi natafuta mwanamke mfanyabiashara fundi wa kupika supu ya kuku wa kienyeji na awe mtaalamu wa kupika mchemsho wa kuku uliochanganywa na karanga viazi mviringo au ndizi.
Utaalamu...
Declare Interest:
Mimi jukwaa langu ni la siasa, huku nimekuja leo na sitorudi tena.
Why MIHOGO?
1) Rahisi kupatikana
2) Kila mtanzania anaijua sio kama mara egg chop, fish finger, Streetwise...
Kuna uzi wa Bulldog kule watu wanataja tu vyakula ila kufundishana kupika hawasemi, please kama unaweza tuambie chakula chako unachojua kupika,unachokipenda au kwa ajili ya watoto kwa mfano;uji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.