Yan inasikitisha kwa kweli., utamkuta mama mpk saa nne asubuh hajaamka na ana mtoto mdogo. Na hata hajaanda breakfast ya mwanae na hana mpango huo kila siku sasa sijui bajeti ama ni nn. Hapo mtoto...
Asante MziziMkavu hii kitu nimeifuma anikiwa na google:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/103715-matumizi-ya-viungo-vya-vyakula-katika-kuboresha-lishe-na-afya.html
Mambo.
Kina mama lishe na baba lishe, vip mbona kimya huku misosi imekwisha leteni mambo wengine tujifunze.tunasubiri ujuzi wenu humu wapendwa mbona kimya sana.
Mahitaji ya pishi hili ni pamoja na ndizi mshale kiasi unachopenda kulingana na familia yako, nyama ya ng'ombe nusu kilo vitunguu maji vikubwa viwili nyanya moja pilipili hoho moja, karoti moja...
Chicken With Pepperoni Marinara Sauce
This dish is guaranteed to be a crowd-pleaser. From Sweet Treats & More, this recipe takes all the things your kids love - cheese, pepperoni, crispy chicken -...
Mahitaji
Strawberries nusu kilo
Sukar robo kilo
Limau kipande.
Namna ya kutaarisha....
Osha na katakata strawberries zako
Kamua limao kwenye kibakuli....
Weka sufuria jikon...
Mahitaji
1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu...
Habari wanandugu,
Tuna mfanyakazi wa ndani na tungependa kumpeleka kwenye mafunzo awe professional chef/cook.
Je kuna mtu anayefahamu hizi course zinatolewa wapi, kwa mudagani na kwa kiasi gani...
Inawezekana ukapata mgeni wa ghafla nyumbani kwako, na ukawaza sana nini cha kumuandalia, au kama si ghafla basi hata kwa appointment, usifanye complication sana, tafuta kitu simple...
Kwa wote wanaopenda ku bake..
mimi kupika si kwa vile sana lakini ku bake na penda sana..
mwaka huu nimejaribu hii new recipe..
Cake yangu iko kwenye Oven ina umuka taaaaaratibu ..
Nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.