Moja kati ya mambo ninayopenda katika kupika ni ile raha na furaha ninayopata pale ninapotengeneza recipe mpya ya chakula na ikapendwa na wale waliokula chakula hicho.
Pancakes si chapati maji...
Hello wanajamvi, google search imeshindwa kunipa jibu ya hii kitu. Nimeanda supermarket leo nimekutana juice ya chungwa ambayo zingine zimeandikwa ''WITH JUICY BITS'' na zingine zimeandikwa...
Mimi nimeona picha nikajaribu, ni nzuri sana!
Umua unga kama wa mabanzi na uache uumuke kwa nusu saa.
Kwenye sufuria safi chemsha samaki(nguru/jodari au yyt mwenye steki) mchapuze vile upendavyo...
Naombeni recipe ya chapati nzuri na tamu za kukanda.
Nataka huu uwe mlo wa leo nyumbani kwangu.
Pia ningefurah zaidi kama ukinipatia na mboga gani niitumie kwenye huo mlo. Binafsi nilipanga...
Huko mjini mnaita popukoni, ni kazi rahisi sana.
Chambua mahindi yako kutoa visivyohitajika hasa pumba ambazo zikiungua huweka weusi kwenye sufuria. baada ya hapo weka sufuria motoni na weka...
Mahitaji
Mchele nusu kilo
Karot 1 kubwa (ipare vizuri)
Nyanya 3 kubwa
Vitunguu maji viwili (ukubwa kiasi)
Bizari ya pilau, curry powder, binzari ya njano na mdalasini 1/2...
Kuna sehemu nililiona ili pishi nikajaribu kulipika aisee ni tamu asikwambie mtu, hii ni kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda kujaribu jaribu mapishiii.
MAHITAJI
1...
Mahitaji
Ute wa Mayai 6
Sukari 4 dl
Unga wa maizena(corn flour)vijiko viwili vya chai
Siki vijiko viwili vya chai
Vanilla(harufu) kijiko kimoja cha chai
Dobble cream boksi moja
Matunda ya aina...
LEMON ice-cream
viungo
2 spoon lemon peel kubwa
1 x kikombe (240 ml) nzima maziwa
1 x kikombe (gramu 140) kuchapwa cream
½ x kikombe (gramu 140) sukari
½ x kikombe (240 ml) maji ya limau...
Mahitaji
Kuku wa kienyeji 1
Nyanya mbili zilizomenywa na kukatwakatwa
Kitunguu maji kikubwa kimoja kilichomenywa na kukatwa
Nyanya ya kibati vijiko viwili vya supu
Kitunguu swaumu kijiko...
Viburudisho vya mdomo!
Vitangulizio " Matango na cheese nyeupe"
Maandalizi yake ni madogo(machache)
1 tango moja/mbili ; waikata slices kwa urefu
vipande vya mkate mweupe
Mayonase vijiko 2/3...
Habari,
Jamani mwenzenu naomba kujuzwa nifanyeje ili ninapo pika mchuzi uwe mzito, na kuwa wa rangi iliyokooza, inakaribia black. msaada please
Unataka uzito wa kiasi gani?
Anyway weka karai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.