Habari wana JF Chef!
Tafiti zinaonesha ndoa nyingi zinavunjika majumbani na sababu ni wakina Mama na wakina Dada kilasiku kuunguza WALI, na sababu kubwa ni kushinda kwenye Tv , Vikoba ...
Nimejaribu hivi karibuni nimegundua ni mtamuuu.
Pika uji wako kama kawaida ila hakikisha umeweka hiliki kabla haujaanza kuchemka halafu maziwa weka Mwishoni yatokote kidogo na uji.
Habari zenu wanajf, jaman naomba maarifa juu ya chapati za maji kuganda kwenye chuma, husababishwa na nini, na litokeapo nifanyeje ili chapati znazofata zitokee vizuri?
Mwadilla
Marafiki zangu leo tutajifunza namna ya kuandaa juice ya maembe na karoti
UTAYARISHAJI WAKE
Chukua maembe 5 au kiasi chako, chukua karoti 3, tangawizi kidogo,
kisha anza kuviosha kwa...
Mahitajiiliki
chumvi
mafuta ya kupikia
maziwa(2cups)
unga wa ngano mags 3
siagi(40gr)
sukari(80gr)
hamira(10gr)
yai 1
chungwa 1
Sukari ya juu unaweza tumia njia mbili ya kwanza ni
icing sugar...
Application ya simu (Mapishi),
Inafanyakazi katika simu za android (bila ya internet),
Katika program hii ya Kiswahili kuna kila aina ya mapishi.
Download hapa,
Mapishi Application
Zama hizo ilikuwa ikisikika kuwa watu wazima wa haja walikuwa wakikanda unga wa ngano wa kutengenezea mikate kwa kutumia miguu ! Nimekuwa nikijiuliza hivi haya mambo yalikuwa ya kweli au ni stori...
Habari za jikoni wapishi! Nimeona fursa ya biashara mahala, wateja wanahitaji TENDE SHAKE na bei yake(as per market research) ni nzuri!naomba dondoo ya utengenezaji!
Wasalam
Mapishi mema!
MAHITAJI
- Maji safi
-Majani ya chai
-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)
-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)
Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji...
Habari zenu wadau,binafsi nilikuwa nina mpango wa kuanza kuuza juisi za matunda fresh za aina mbalimbali,sandwich,hamburg na vitu vitamu vitamu mvijuavyo ili niweze kujiongezea kipato.
Sasa ombi...
Mahitaji
1)Strawberries
2)Embe ya kuwiva
3)Mtindi
4)Maziwa
5)Vipande vya barafu
6)Sukar
Namna ya kutaarisha..
1)Ondoa vichwa vya strawberries then zioshe
2)Osha embe na katakata vipande...
Naombeni kuuliza ni wapi nitapata pilipili aina ya shitto kwa hapa Tanzania!? Kwa wale wanayoijua tafadhali ni habarisheni hii kitu plsee! Hii ni pilipili ya wenyeji wa nchini Ghana.
Habari zenu wadau wa maakuli?
Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako....
Nawakaribisha...
Mahitaji
Viazi kilo 1
Samaki asie na miba
Limau 1
Karot 1 ndogo ipare
Pilipili mboga 1 rangi upendayo kata ndogo ndogo
Kitunguu maji 1 kidogo kata ndogo ndogo
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon...
Recipe
Mahitaji
1 kikombe unga wa corn flower/
1kikombe brown sugar
2 vikombe white sugar
3 cup maji
1kijiko kimoja cha chai kungu manga
Zafarani kijiko kimoja cha chai
Iliki kijiko kimoja cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.