Habari Zenu.
Mwenye ujuzi wa hicho chakula.
Tafadhwali.
Siku njemaaa.
How to Cook a Chicken Curry in Ten Minutes
Ingredients
3 tablespoons (45 mL) of olive oil
an onion (medium)
14 oz (400...
Wadau,
Ni muhimu unapoandaa maji ya kunywa kuzingatia usafi katika zoezi hilo. Usafi wa mazingira, chombo utakachochemshia na chombo utakacho hifadhia.
1. Hakikisha jiko unalochemshia lina...
Leo tumetumiwa mahitaji ya kutengeneza Chatini ya karoti, nazi na vitunguu. Hatukuelezewa hatua za kuipika hii chatini mpaka itokee kama picha ilivyotumwa, naamini mdau alikutana nayo sehemu...
Wapendwa za wk end? I hope all is well.
Mahitaji
Maziwa ya unga (vijiko 6 vya chai)
Unga (vijiko 4 vya chakula)
Mayai 4
Mafuta Robo kikombe
Sukari kikombe kimoja (unaweza kupunguza kidogo km...
Mahitaji ya shira(syrup)
1)Sukari kikombe 1
2)maji kikombe kasoro
3)hiliki kiasi
4)zafarani (saffron) au arki ya rose...
Mahitaji ya mkate
1)Unga wa ngano vikombe 3.5
2)mayai 2
3)maziwa ya unga...
Wakuu samahani kwa anajua atujuze maana mf ukipita kwenye migahawa ya wahindi utakuta wana chachandu ya nazi nafikiri huwa wanachanganya na ndim na pilipili lakin mie nimejaribu sipati same taste...
Katika makala iliyopita Nilifundisha namna ya kupoa asidi iletayo kiungulia kwenye maharage,na tuliona kwamba huwezi kutoa asidi(phytic)yote kwenye maharage ila unaweza kuipunguza kwa kiasi...
Mahitaji
Viazi ulaya 4 vya wastani
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Hoho la kiajani 1/2
Njegere 1 kikombe cha chai
Carrot 1 kubwa
Broccoli kidogo
Cauliflower kidogo
Kitunguu 1
Nyanya 1/2 kopo...
Jamani hii mboga ni nzuri kwa ladha na nzuri kwa afya kwasababu ina nutrients zote za muhimu.
Mahitaji
Nyama ya ngombe 1/2 kilo
Vitunguu maji viwili
Nyanya nne
Pilipili hoho nusu
Kabichi 1...
Leo hebu kila mtu a share unachanganyaje matunda? au wala moja moja
Mie leo nimechanganya strawberries,papai,zabibu na apple vyote ratio sawa then naweka yogurt juu nakula
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.
Mahitaji...
Mayai 6
Maziwa sona kikopo 1
custard kijiko 1
maziwa ya unga vijiko 5
maziwa ya maji vikombe 2 na nusu vanila kijiko 1
mimina vyote kwenye blender saga.
Kwenye sufuria safi ndogo kiasi unguza...