JIFUNZE KUPIKA WALI WA SAUSAGE NA MBOGA MAJANI MCHANGANYIKO
JIFUNZE KUPIKA MBOGA MAJANI NA MCHANGAKO WA WALI NA SAUSAGE
MAHITAJI
3 vipande vya sausage
1 fungu la majani ya...
Naamini kila mtu anajua kuchemsha kuku na kukaanga, ni pishi la kawaida sana.
Ingawa pishi hili ni rahisi, watu wengi wanalikosea sana,na matokeo ya pishi lao hayawi mazuri.Unaposoma pishi hili na...
Hello Mods
I think you will agree with me kwamba hamna kitu muhimu hapa duniani kama Kula (apart from Praying and Believing in your Religions)
Watu wa dini na makabila tofauti wanaweza...
Weka futari(chakula) upendacho kula na unahitaji kupika ila tu hukijui/umesahau namna ya kupika tutakumbushana biidhnillah en shaAllah......
Mrs Kharusy Angel Nylon rasai Ennie gorgeousmimi na...
Mahitaji
Unga wa ngano vikombe 2
Sukari nusu na robo kikombe
Mafuta ya kupikia nusu kikombe
Yogourt vijiko 3 vya kulia
Baking powder kijiko 1 cha chai
Mayai 3
Namna ya kutengeneza
1)changanya...
Mahitaji
1)Unga kikombe 1
2)1/2 kikombe cha yogurt na maji kidogo waweza tumia tui la nazi pia.
3)siagi ama samli 1tablespoon
4)1 teaspoon ya hamira
Shira (sugar syrup)
1)Sukari kikombe 1
2)maji...
Habari zenu wana Jamii,
Hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha biashara ya chakula ila nina shida ya mwalimu wa mapishi, sana sanaa ni utengenezaji wa SALAD za aina mbalimbali,naomba msaada...
Katika ulimwengu wa vyakula na mapishi kuna aina mbalimbali ya vyakula ambavyo upande mmoja wa dunia vinaweza kuwepo na upande mwingine kukosekana.
Ukiachana na hilo pia kuna jambo moja inabidi...
Wanaukumbi.
Naamini kila mtu anajua kuchemsha kuku na kukaanga,ni pishi la kawaida sana.
Ingawa pishi hili ni rahisi,watu wengi wanalikosea sana,na matokeo ya pishi lao hayawi...
PIA NITAKUPATIA RECIPE SAFI KABISA YA KITAFUNWA HIKI CHA KARANGA NA CHOCOLATE
RECIPE SAFI KABISA YA KITAFUNWA HIKI CHA KARANGA NA CHOCOLATE
MAHITAJI
360 gram peanut butter
1 kg high...
Mahitaji
1.Njegere
2.Carrot
3.Viazi
4.Mayonnaise
chemsha njegere zako..bt make sure zisiwe laini i mean ziive enough kwa kula,fanya hvyo kwa viazi na carrot pia..viazi na carrot vinapendeza...