Nna hamu ya viazi vitamu balaa, ila hunisababishia kiungulia hatari.
Sasa natafuta njia ya kuvi-pimp kupunguza kiungulia.
Je, naweza kufanya 'mashed potato'? Sijawahi jaribu viazi vitamu...
Soseji ni kitafunwa kinachopendwa sana,na hutumika sana kama sehem ya kifungua kinywa.Ni namna nyingine ya kuhakikisha unapata protini kwenye kifungua kinywa.
Hata ivyo soseji huweza kutumika...
hii ni namna ya kutengeneza CURRY nyumbani kwako. KARIBU
Korma paste
2 cloves of garlic / a thumb-sized piece of fresh root ginger / ½ teaspoon cayenne pepper / 1 teaspoon garam masala / ½...
Kuku 1
Tangawizi
Kitunguu thomu 1 teaspoon
Orange juice 2 glasses waweza kamua fresh orange au orange juice ambayo 100% alafu no sugar added
Chumvi kiasi
Chungwa moja kwa ajili...
Type 1
Mahitaji
Majani ya salad
Samaki asie na miba wa kuchemsha bila ya viungo weka chumvi (unaweza tumia samaki wa kikopo)
Nyanya 1 kubwa
Kitunguu maji kidogo sana 1
Pilipili...
Wana jiko!! Ni mda sasa nimekua nikienjoy mapishi ya chef wetu farkhina. Naomba nami niwaekeeni kaujuzi hapa wa kutengeneza mkate simple wa ufuta!!
Mahitaji;
Unga vikombe 2
Maziwa kikombe 1na...
unachukua fish fillets au meat fillets unazikaanga na mafuta kidogo na vinegar kwa mbali kisha unapasulia yai lisilovurugwa juu yake unaacha kwenye moto kama dak 5 kisha unaopoa! unakuwa na...
Wapendwa leo niliandaa maandazi matamu balaa haya nlitumia hivi vipimo....jaribu na wewe uje uniambie kama hutashibia jikoni
Mahitaji
Unga kg 1
Sukari robo ila usijae
Samli 5...