Taasisi ya kimataifa ya uwiano
wa uzito na lishe ya Slimming
World yenye makao yake
makuu nchini Uingereza,
imefanya uchunguzi kuhusu
watu wanaokunywa pombe na kubaini kuwa inawaongezea
kasi...
Mahitaji
Unga wa dengu 1 cup
Kitunguu maji 1/4...kata ndongo ndogo
Pilipili kijiko 1 cha chai..
Hamira 1 tea spoon.au baking powder
Pilipili mboga 1/4...kata ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Curry powder...
Wanajamvini nimekubali jamiiforum ni home of great thinkers.baada kupata hofu kali juu ya dengue na kuchoka kufungua mageti kwa mchina sasa nimefikiria kuanza kupika na kuuza maandazi na skonsi...
Wapishi wenzangu za Jumapili?
Just to share with u this, nimekuwa nikiitumia kujifunza mapishi mapya, kama ilishawahi kuwekwa hapa jikon basi si vibaya tukajikumbusha: pitia hapa ujifunze pishi...
Hello!
Naomba anisaidie mdau mtaalamu wa upambaji wa cake,nina iceing sugar natakiwa niichanganye na nini na nini ili niweze kuichora juu ya cake yangu kwa maana ya kuipamba.Plz help me!
Wadau wa hii forum tumekuwa wachoyo na wabinafsi kwa kujifikiria sisi wenyewe watu wazima na kusahau kabisa wana wetu ambao ni taifa na nguvu kazi ya kesho wengi wetu tuna watoto ambao tunawaacha...
Chipsi ni chakula kinachopendwa na watu wa rika zote.Ni moja ya vyakula maarufu sana Duniani.
Chipsi hupikwa na kuliwa katika namna mbambali,kwa kawaida huliwa na vyakula vyenye asili ya protini...
Supu/mchuzi wa Kichwa cha Sangara
Moja kati ya mambo ninayomiss sana kuhusu my home town MWANZA A.K.A. THE ROCK CITY ni Samaki.Samaki wanaopatikana ziwa Victoria wana sifa kubwa sana kitaifa...
MAHITAJI
VIAZI VITAMU
NYAMA YA NG'OMBE/KUKU /SAMAKI(Chagua kimoja kwa mlo unaweza kubadili kwa mlo mwingine)
NJEGERE
KAROTI
VITUNGUU VIKUBWA VIWILI
TANGAWIZI kiasi
BLUE BAND vijiko viwili vikubwa...
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...
Sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina watanzania wengi huwa tunakula...
Nilishawahi kula nyama za kukaanga eneo fulani hivi, kwakweli nilivutiwa nazo sana!
leo nipo home kinda bored nikakumbuka hizo nyama, mwenye ueledi wa jinsi ya kutengeneza hizo nyama za kukaanga...